Mafinga: Chuki za wanaCCM kwa chama chao sasa mchana kweupe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mafinga: Chuki za wanaCCM kwa chama chao sasa mchana kweupe

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by matawi, Jun 16, 2012.

 1. m

  matawi JF-Expert Member

  #1
  Jun 16, 2012
  Joined: Mar 29, 2010
  Messages: 2,055
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Jana wanamafinga wameweka wazi chama cha mapinduzi ndo chama kinachoongoza kwa ahadi hewa na wananchi wamekichoka mpaka wanafikiria kiondoke kabla ya 2015, walimwambia nape kwenye ziara huko mafinga
   
 2. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #2
  Jun 16, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Bilashaka hata Yeye Nape alidhibitisha hilo.
   
 3. wagaba

  wagaba JF-Expert Member

  #3
  Jun 16, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 829
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Hiyo alipewa live na wana Mafinga.
  Ila alijitahidi kuwavisha kijani wazee. Sura zao zilionyesha huzuni sana na wala hawajui mwelekeo wao ukoje.

  Aliyekuwa anamchana live alivaa nguo zake tu za kiraia. Hakutaka kupigwa changa la macho.
   
 4. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #4
  Jun 16, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,838
  Trophy Points: 280
  CCM haina chake safari hii na cha ajabu wamekumbatia sana makundi, matajiri , na watoto wa vigogo
  safari hii ndo mwisho wao
   
 5. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #5
  Jun 16, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,196
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  Nape anawapigisha saluti wanaccm Kama amiri mkuu wa majeshi aliwasotesha sana wahaya
   
 6. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #6
  Jun 16, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,890
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  mzee, hiyo sijaipata vizuri ya amiri jeshi mkuu kuwasotesha sana wahaya, ikoje bwana.
   
 7. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #7
  Jun 16, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,196
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  Kuna picha moja ilikuwa humu jamvini wakati nape alipotembelea kagera kuna vijana wa ccm walikuwa wamejipanga na yeye akiwa anapita katikati Huku wakiwa wamepiga saluti
   
 8. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #8
  Jun 16, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Aisee nilicheka sana siku ile, nshomile na ujanja wao wote wamejipanga mistari wanatwanga saluti kwa Nape. Sijui ndo jikombe ukomborewe policy ya ccm!!?
   
Loading...