Nawaunga mkono BAKWATA "NAPINGA SENSA MPAKA TUJUE IDADI YA WAKATOLIKI TANZANIA" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nawaunga mkono BAKWATA "NAPINGA SENSA MPAKA TUJUE IDADI YA WAKATOLIKI TANZANIA"

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Chilisosi, Jun 16, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Chilisosi

  Chilisosi JF-Expert Member

  #1
  Jun 16, 2012
  Joined: Oct 19, 2008
  Messages: 3,055
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Mmie nimeamua rasmi kuungana na bakwata kwa kupinga sensa mpaka kipengele cha dini kiingizwe kwa sababu nazani ni haki yangu kama wengine kuamua hivyo ili na sisi tujue tuko wangapi. baada ya hapo tuweze kujua tunahitaji kuongeza mashule mangapi na mahosipitali ya kuwatibu wakatoliki na watanzania wote kwa ujumla
   
 2. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #2
  Jun 16, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 730
  Trophy Points: 280
  Mkuu vipi salama? umetumwa? mbona kwa speed hivyo?
   
 3. papason

  papason JF-Expert Member

  #3
  Jun 16, 2012
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 2,317
  Likes Received: 634
  Trophy Points: 280
  wale wale wanaoulilia 'uji wa mgonjwa'
   
 4. Chilisosi

  Chilisosi JF-Expert Member

  #4
  Jun 16, 2012
  Joined: Oct 19, 2008
  Messages: 3,055
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Mkuu tumechoka kukaa kimya
   
 5. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #5
  Jun 16, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,874
  Likes Received: 1,561
  Trophy Points: 280
  wahenga walipata kunena
  "ficha upumbavu wako, onyesha hekima yako"
   
 6. N

  Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

  #6
  Jun 16, 2012
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 3,648
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 180
  "Mnahitaji" wewe na nani, na mkiwa kama nani?

  Halafu, si hivyo tu, eti uweze kujua "unahitaji kuongeza mashule mangapi na mahosipitali ya kuwatibu Wakatoliki" wakati nyie wenyewe hamna hata shule moja au hospitali moja iliyojitosheleza kuwatibu nyie wenyewe, achilia mbali kutibu hao "Wakatoliki" na Watanzania wengineo, na ilhali mnaashia kuelimishwa kwenye shule za Wakatoliki na kutibiwa kwenye hospitali za Wakatoliki lakini ngebe kila siku haziishi! Wee endelea tu "kuzani" na pengine hata "kughani" tembe za mashairi. Kubambuzi weye!
   
 7. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #7
  Jun 16, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Wanaopinga sensa itayoonesha dini ya mtu ni Wakristo pekee, kwanini?
   
 8. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #8
  Jun 16, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Muhamadans wanamadai ya kipuuzi sana
   
 9. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #9
  Jun 16, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,196
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  Mkuu mbona una endelea kukomaa wakati wenzako wamelegeza Uzi baada ya kuambiwa kile chakula mnacho kihusudu yani pilau litakuwepo Kwenye Hilo zoezi la sensa?
   
 10. T

  Twasila JF-Expert Member

  #10
  Jun 16, 2012
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 1,913
  Likes Received: 494
  Trophy Points: 180
  Hiyo sensa ya kujua wanaopinga umeifanya lini?
   
 11. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #11
  Jun 16, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo sensa ziwe kadhaa, na tuanze na ya wakatoliki. Ikiisha mtake ya wasabato, na sie wa bhahai msije mkatusahau!

  Kaazi kweli kweli! Tunahitaji mfalme **** atuongoze!
   
 12. M

  Mgongo wa paka JF-Expert Member

  #12
  Jun 16, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 486
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  ni ujinga kukebehi kitu halisi duniani kote sensa inayo zingatia imani au kuwa nakipengele cha dini nikitu cha kawaida
   
 13. R

  RMA JF-Expert Member

  #13
  Jun 16, 2012
  Joined: Oct 10, 2010
  Messages: 409
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hijabu... sensa... uamsho!! Hivi tu ndivyo vipaumbele vyenu? Vipi kuhusu elimu na maendeleo ya jamii kwa ujumla? Hivi ninyi waislamu nani kawaroga? Inashangaza kwelikweli!! Bado mna safari ndefu!!
   
 14. R

  RMA JF-Expert Member

  #14
  Jun 16, 2012
  Joined: Oct 10, 2010
  Messages: 409
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa kuwa wanajua nyie hamna nia njema. Mnataka tu kuwachomea makanisa!!
   
 15. matumbo

  matumbo JF-Expert Member

  #15
  Jun 16, 2012
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 7,199
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  wanaolazimisha sensa itayoonyesha dini ya mtu ni Waislamu pekee,kwa nini?
   
 16. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #16
  Jun 16, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  una shida na wakatoliki au wakristu?
   
 17. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #17
  Jun 16, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  waislamu kushindana na wakristo kazi ipo. Mwislamu anaweza kuoa wake mpaka wanne akajikuta ana watoto wanne. Mkristo mke moja watoto 12 wapi na wapi!
   
 18. K

  KISAKA MORIS JF-Expert Member

  #18
  Jun 16, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 372
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wewe ni mkatoliki?? Au umeamua tu kuendeleza hizi agenda zenu za udini zisizokuwa na maana! Tujadili mambo yenye maana halafu jukwaa hili ni la SIASA sijui hili linausikaje na hili Jukwaa.
   
 19. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #19
  Jun 16, 2012
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  Wanaopinga sensa wanasapoti ali zenji na ali shababu
   
 20. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #20
  Jun 16, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  hawapingi maana haikuwamo kwenye mipango ya serikali. wako neutral.
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...