Nape anapotoa maagizo kwa viongozi wa serikali, anasimama kama kiongozi gani?

Yule

Member
May 4, 2012
14
5
Nimemsikia Nape kwenye taarifa ya habari ya ITV akitoa maagizo kwa mkuu wa Iranga kushughulikia mala moja matatizo ya wafanya biashara wadogo wa mbao wa wilaya ya Mufindi baada ya wafanya biashara kumueleza matatizo wanayo yapata katika biashara yao ya mbao.

Sasa nimeshindwa kumuelewa anapompa maangizo mkuu wa mkoa kushughulikia matatizo hayo mala moja wakati mimi ninavyo fahamu ni katibu muenezi au mtoa habari wa chama
 
Nimemsikia Nape kwenye taarifa ya habari ya ITV akitoa maagizo kwa mkuu wa Iranga kushughulikia mala moja matatizo ya wafanya biashara wadogo wa mbao wa wilaya ya Mufindi baada ya wafanya biashara kumueleza matatizo wanayo yapata katika biashara yao ya mbao. Sasa nimeshindwa kumuelewa anapompa maangizo mkuu wa mkoa kushughulikia matatizo hayo mala moja wakati mimi ninavyo fahamu ni katibu muenezi au mtoa habari wa chama

Amepagawa!!!!!!!!!!
 
Samaki aina ya kambale wote wana ndevu! Mtoto, baba na mama. CCM kila kiongozi anaweza kutoa amri! Hakuna mdogo wala mkubwa!
 
Sijui nani anamshauri Nape, lakini tabia yake ya kutoa maelezo kwa serikali itazidi kuvuruga chama. Publicist wa chama anapata wapi mamlaka ya kutoa maagizo wa viongozi wa serikali tena wengine mawaziri?
 
Kama maagizo yake ni kwa maslahi ya taifa sioni tatizo hasa kama ni kwa ajili ya utatuzi wa shida za wananchi.
 
Now nape amekuwa waziri mkuu baada ya kumaliza uwaziri wa afya na ustawi wa jamii.
 
Nape ni Katibu Mwenezi na Itikadi ya Chama Cha Mapinduzi, NDO MWENYE ILANI INAYOTEKELEZWA KWA SASA NA SERIKALI,NI MOJA YA WAJIBU WAKE KUSIMAMIA UTEKELEZAJI WA HIYO ILANI.
Msisahau hapahapa jamvini tumemsema sana juu ya ahadi za JK na serikali, akipita kuhimiza itekelezaji wake shida ni nini?!?!Kwanini tuhangaike na rangi ya paka wakati anauwezo wa kukamata panya?!!
Nimehudhuria mkutano wa Mafinga, swala la wabunaji mbao wadogo ni very serious kwa siasa za Mafinga na uchumi wa Mafinga. Amefanya vyema na alichoagiza ndo solution, SWALI HAPA NI JE WATATEKELEZA?!!!



QUOTE=Yule;4060154]Nimemsikia Nape kwenye taarifa ya habari ya ITV akitoa maagizo kwa mkuu wa Iranga kushughulikia mala moja matatizo ya wafanya biashara wadogo wa mbao wa wilaya ya Mufindi baada ya wafanya biashara kumueleza matatizo wanayo yapata katika biashara yao ya mbao.

Sasa nimeshindwa kumuelewa anapompa maangizo mkuu wa mkoa kushughulikia matatizo hayo mala moja wakati mimi ninavyo fahamu ni katibu muenezi au mtoa habari wa chama[/QUOTE]
 
Back
Top Bottom