Dr. Mwakyembe apiga mkwara kwa wahusika reli ya kati | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr. Mwakyembe apiga mkwara kwa wahusika reli ya kati

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Poriposha, Jun 14, 2012.

 1. Poriposha

  Poriposha JF-Expert Member

  #1
  Jun 14, 2012
  Joined: Oct 23, 2011
  Messages: 306
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  [h=6]Waziri Mwakyembe atoa siku 3 kwa maofisa waliohusika na rushwa reli ya kati kujisalimisha. Hi ni baada ya kupanda usafiri wa njia reli kwenda Bungeni. Je huyu ndiye mchapa kazi??[/h]Nangojea matokeo jumamosi
   
 2. Oluoch

  Oluoch Senior Member

  #2
  Jun 14, 2012
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 134
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Angewafuata huko waliko kuliko kuwasubiri wajisalimishe
   
 3. English Learner

  English Learner JF-Expert Member

  #3
  Jun 14, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 346
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  I always wonder what Tanzanians really want their Govt to do coz whatever is done to them is nothing!
   
 4. Poriposha

  Poriposha JF-Expert Member

  #4
  Jun 14, 2012
  Joined: Oct 23, 2011
  Messages: 306
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kashajionea then huku akiendelea kutafuta ushaidi wa kujiidhisha ndio kawapa chansi ya kujisalimisha
   
 5. B

  Bob G JF Bronze Member

  #5
  Jun 14, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 2,354
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Huyo haijui ccm atatulizwa 2 huyo, ulimsikia CDM SQUARE alitaka kuanza siasa za majitaka akaacha,
   
 6. Oluoch

  Oluoch Senior Member

  #6
  Jun 14, 2012
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 134
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  aendelee na moyo huo wa kulitumikia taifa lake kwa moyo wa uzalendo. Ataipata thawabu kwa Mungu
   
 7. Poriposha

  Poriposha JF-Expert Member

  #7
  Jun 14, 2012
  Joined: Oct 23, 2011
  Messages: 306
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  kawaida Maovu yakiwa Mengi kuliko Mazuri si rahisi watu kukubaliana na wewe kwa haraka kile unchowafanyia hepu fikiria richmondi,epa,ufisadi,mali alisili zetu zinavyokwapuliwa na wajanja, umeme ndio sitaki kuzungumzia kabisa n.k kwa hayo Serikali ina kazi kubwa kufanya jambo likubalike kwa haraka
   
 8. Mkulima wa Kuku

  Mkulima wa Kuku JF-Expert Member

  #8
  Jun 14, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 1,259
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 145
  Mtoa habari umesema rushwa reli ya kati, rushwa ya nini? Kwenye kitu gani? Unazungumza kana kwamba kila mtu yuko informed juu ya hiyo rushwa unayotaja! Una haraka gani? Jaribu kudadavua habari yako kama Great Thinker, umeshaanzisha uzi hauporwi!
   
 9. Poriposha

  Poriposha JF-Expert Member

  #9
  Jun 14, 2012
  Joined: Oct 23, 2011
  Messages: 306
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  sasa nawewe ubongo umesinzia yaani ukiambiwa rushwa reli ya kati sasa wewe unahisi nini zaidi ya kula fedha za ukarabati then wanapewa pesa wanatoa taarifa ukarabati umekamilika
   
 10. English Learner

  English Learner JF-Expert Member

  #10
  Jun 14, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 346
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  ....Thanks....but if there are a few who are working harder to rebuild trust, let us support them. Otherwise if we keep on lamenting even on their good start, the likely is causing desperation and killing of good spirit. Remember, these few expect to pull courage and strengths from the public. Thus our acts of denying or belittling their efforts are contributing to killing patriotism.
   
 11. Mkulima wa Kuku

  Mkulima wa Kuku JF-Expert Member

  #11
  Jun 14, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 1,259
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 145
  sikawahi kuona anayejiita great thinker akitoa habari zenye dhana badala ya kueleza kilichotokea. Nahisi unatatizo la malezi sababu hautaki kukosolewa kwenye makosa dhahiri kama hayo. Siyo kosa lako
   
 12. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #12
  Jun 14, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Mama Kama vip nenda kwenye jukwaa la lugha unachafua thread hapa
   
 13. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #13
  Jun 14, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  dada... hivi kweli serikali inatakiwa kutoa siku tatu kwa mla rushwa ajisalimishe?? sio kwamba inatakiwa kumkamata??

  anyway laba mwakyembe ana dawa ya pekee tutaona, otherwise hata jah-kaya alishawahi kutoa hizi notices and nobody came out
   
 14. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #14
  Jun 14, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  my dear, huwezi ku-rebuild trust kwa kumpa muda mhalifu namna hiyo, kumbuka kuna idara za serikali zinalipwa usiku na mchana kufanya kazi yao, sasa wewe kutoa notisi tu, hauoni kwamba kama ingekua rahisi hivyo tungefuta takukuru, mahakama na polisi pia?? hauoni kwamba oda ya mwakyembe ni kituko?

  Mie nadhani ni athari za dawa anazotumia .... karopokwa
   
 15. TONGONI

  TONGONI JF-Expert Member

  #15
  Jun 14, 2012
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 1,027
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Sasa wewe umekereka na nini? kwa kuwa katumia kiingilishi?...I can't figure out.
   
 16. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #16
  Jun 14, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Ndio mkuu halafu kibovu
   
 17. M

  MR.SILVER JF-Expert Member

  #17
  Jun 14, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  You need to be result oriented to make development.
  You need to do not try
  You need to delivery well according to the strategic plan..sio kuishia kusema serikali ina mipango mikakati kadha wa kadha kama tunavyosikia bungeni na kwenye majukwaa kila siku or chep popularity through the news/media.

  Hakuna tofauti na mtu kuishia kusema nimesoma sana badala ya kuacha watu waone matokeo ya kusoma kwako.
  Viongozi bongo wanahitaji kufanya vitu vionekane na hakuna sababu ya kutaka kusifiwa kwani ni wajibu wao na wanatumia pesa nyingi za kodi.

  I dont care who rule the Country ( CCM or CDM)I just it to be done well ..ila kwa mazoea waliojiwekea CCM ni kazi kujirudi na kuaminika
   
 18. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #18
  Jun 14, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Si ndo njia ya kuwabeba wezi wa ccm!
   
 19. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #19
  Jun 14, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Ndivyo mpumbavu alivyo
   
 20. Anheuser

  Anheuser JF-Expert Member

  #20
  Jun 14, 2012
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 1,962
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Ndio text book ya CCM halisi. Kama Kikwete alipohutubia Bunge akasema aliyeiba hela za EPA na arudishe mwenyewe. Wajanja tukajua hii ni tamthiliya mpya kwenye runinga. Wakirudisha ndio unafanyaje, unawasamehe?

  Huwezi kujipeleka polisi eti "najisalimisha nimekula rushwa ya reli." Kila mtu ana haki ya kutojifunga mwenyewe, right against self-incrimination, na haki ya kuthibitishwa na mtu mwingine kwamba kweli kala rushwa ya reli, sio yeye mwenyewe akajishtaki.
  Kazi ya Serikali ndio kukamata, kushitaki na kuthibitisha kwamba mtu kala rushwa ya reli. Kama kweli Mwakyembe angekuwa sio magumashi 1) angefukuza mtu 2) akatoa ushahidi kwamba fulani kala rushwa ya reli ili ashitakiwe.

  Ukimwambia mtu nakupa siku tatu sijalimishe mwenyewe akijisalimisha ndo unafanyaje, unamsamehe? Au bado utamfunga? Mana kama bado utamfunga bora auchune tu, hata mimi ningeuchuna, mtu yeyote anaejua sheria hawezi kujisalimisha, unless ni malaika, na ukila rushwa you are far from malaika. Ningesema catch me if you can, halafu tuta drag kesi miaka mitano kama Mramba na Mgonja mwishowe Watanzania watasahau na Jaji atasema isiwe tabu, wameiba wangapi? Toka lini umesikia mserikali wa Tanzania kaisha kwa rushwa. Mwakyembe usianze ku sound kama Mrema!
   
Loading...