Chadema kuunguruma leo iringa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema kuunguruma leo iringa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by WISTON MWINUKA, Jun 16, 2012.

 1. WISTON MWINUKA

  WISTON MWINUKA Member

  #1
  Jun 16, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 82
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  CDM watakuwa na mkutano wa hadhara mkoani Iringa eneo la Kihesa sokoni,mida ya saa tisa alasiri!Viongozi kadhaa wa CHADEMA watakuwepo.Mengi zaidi nitawajuza muda utakapo fika.
   
 2. n

  nyangwe Senior Member

  #2
  Jun 16, 2012
  Joined: Oct 3, 2010
  Messages: 149
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ahsante kwa taarifa
   
 3. m

  mchaichai JF-Expert Member

  #3
  Jun 16, 2012
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 650
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ahsante mkuu tunawatakia kila zuri cc kwa sasa tuko mbali hatutaweza kuja huko ili tunaomba utujulishe
   
 4. m

  mamajack JF-Expert Member

  #4
  Jun 16, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 1,162
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  mwenyezi mungu awtangulie.maana shuhuli ya ukombozi inahitaji msaada wa mungu.
   
 5. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #5
  Jun 16, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  viongozi gani watakuwepo?? mbona unashindwa kutoa taarifa kamili?
   
 6. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #6
  Jun 16, 2012
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,204
  Likes Received: 3,765
  Trophy Points: 280
  Haya mnyakilambo, tulongelage kila kinu peguvansile umukutano ugo!

  Vahungilage va maseto,vamng'anzagala,vakilwa,vamwamwinuka,vamwachalamila,vamwamunyinga,vamwalumato,vamwluhala,vamwakihwele,vamwamkana,vamwamkolumoto,vamwakivembele,vamwachavala,vamwamdapo,vamwamgimwa na vanyalukolo mbevali valongele ukutidila ccm si yuve ndaaa! Pipooooooooooo Pawaaaaaaaaa!!
   
 7. WISTON MWINUKA

  WISTON MWINUKA Member

  #7
  Jun 16, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 82
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kwa taarifa nilizonazo hadi sasa ni kwamba Mh.SUGU,Mh.NASSARI watakuwepo.
   
Loading...