Namuona hapa Mwigulu na Lipumba wakiidadavua budget ya 2012/2013,..kwa kuanzia huyu mwana ccm anaitetea kwa nguvu zake zote...anasema baadhi ya wataalam wa uchumi wanaipotosha....ngoja tusubiri prof.atasemaje
Yeah mkuu..namuona prof.lipumba hapa akimbananisha mchemba mwigulu kwa yale madai yake ya kusema budget imejitosheleza kwa 100% kwa recurrent expenditure
Dr slaa ameshasema ni mbovu Mimi sina haja ya kuwa sikiliza hao ndugu wawili yani ccm na ccm-b labda waziri kivuli ndio na jiandaa kumsikiliza j3 kwa makini
mwigulu anashauri kuwa wataalamu falier wakabiliwe na kitisho cha kufungwa jela kuwa-replace vibaka ATUAMBIE CHAMA FAILIER CCM TUKIPE ADHABU GANI? (kimeanzisha na kuratibu uuzwaji wa mashirika yetu ya umma, kilipigiwa kelele kisibinafsishe shirika la reli, NBC wamewapa makaburu, ATC wameiua, wametumia wingi wao kwa kupitisha marekebisho ya sheria bungeni ili kujipa uhalali wa kisheria kuihujumu nchi)
Tatizo la Mwigulu ana mapenzi yaliyopitiliza na chama mpaka anashindwa kukosoa hata mambo yanayoonekana wazi kuwa yapo nje ya mstari.
Hii kwenye ndoa ndiyo ile unansikia watu wanasema mwanaume kalishwa limbwata yaani kila asemacho mkewe ye ni YES tu.
Sasa sijui kuna limbwata hata kwenye vyama au ni kutoshirikisha akili sawasawa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.