Mbinu mpya ya kupambana na rushwa hii hapa

Mzalendo Mkuu

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
735
191
[h=1]Bolivian officials get spy pens in anti-corruption effort[/h]
Bolivian custom officers will have to carry special pens, with a hidden micro-camera and voice recorder, as part of a government initiative to tackle corruption.
The measure was announced by customs director Marlene Ardaya, who will be issued with her own pen.
"They will work as an anti-doping mechanism in the department."
She explained that the voice recorders will remain active during all working hours.

The authorities said officials would be selected randomly to have the recordings in their devices checked.
The Bolivian Customs Department, with more than 1,000 employees, is seen as one of the most corrupt areas of the government in the South American country.
It is supposed to control all import and export, including the sale of valuable mineral resources.

But the Bolivian Economy Ministry estimates smuggling costs the country up to $400,000 (£250,000) in lost tax revenue.
 
Hapa bongo hizo gadgets zitatumbukizwa zote kwenye maji vipige shoti na hakuna mkubwa yeyote atakaeuliza kwa sababu wao ndo vinara hasa ktk skendo nzima ya rushwa. wadogo hawawezi kuwa na guts za kuvuta pesa ndefu ya rushwa bila ya back up. Hii ndo TZ bana!
 
Ki ukweli kabisa, rushwa inaweza kuondolewa hata bila ya kutumia vifaa kama hao jamaa. Cha msingi tu ni ile nia ya kuiondoa hiyo rushwa. Kama si AKITOKEA huyo jamaa mwenye nia ya kuondoa rusha, itaondoka mara moja. Huhitaji TAKUKURU bali mtu mmoja tu mwenye nia safi awakimbize hao wezi. Kila jamobo linawezekana.
 
Hiyo technique ikija bongo, watu wataanza kufungua shule za kUONGEA kwa ishara kama mabubu (watu wenye ulemavu wa kuongea) wanavyoongea. Halafu hizi shule zitamilikiwa na vigogo. Chezea bongo wewe!
 
Back
Top Bottom