Mwenye kujua anisaidie | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwenye kujua anisaidie

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Comi, Jun 16, 2012.

 1. Comi

  Comi JF-Expert Member

  #1
  Jun 16, 2012
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 3,347
  Likes Received: 478
  Trophy Points: 180
  Naombeni kufahamishwa mwenye kujua sababu za ubadilishwaji wa rangi ya bendera ya chadema zaidi ya mara mbili, mara ya kwanza ilikuwa nyeupe na nyeusi,ya pili ikawa ya light bluu na nyeusi na ya sasa hivi nyeupe,nyeusi,nyekundu na light bluu, na je hizo rangi zina maana yoyote?
   
 2. mizambwa

  mizambwa JF-Expert Member

  #2
  Jun 16, 2012
  Joined: Oct 8, 2008
  Messages: 4,409
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  Je, Jembe na Nyundo katika bendera ya CCM ina maana gani.

  Nafikiri majibu yatakuwa yanafanana!!!!!!!  MIZAMBWA
  NABII MTARAJIWA!!!
   
 3. Comi

  Comi JF-Expert Member

  #3
  Jun 16, 2012
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 3,347
  Likes Received: 478
  Trophy Points: 180
  Jembe jazi yake ni kuchima makaburi wa walalahoi wa tanzania,nyundo kazi yake ni kupigilia majeneza pamoja na misalaba
   
Loading...