Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Bonyeza uone Umma ulivyo ikubali Chadema Chadema Blog: CHADEMA WAFANYA MKUTANO MKUBWA IRINGA LEO
1 Reactions
3 Replies
2K Views
alie kuwa mgombea udiwani kata ya Nyasa kada mkubwa wa CUF Yusufu Omari Ally leo amehama na kurudisha kadi kwa mwenyekiti wa chadema kata ya Migongo Masasi Mtwara (Kassimu Bingwe).
4 Reactions
26 Replies
3K Views
Na Ramadhani Siwayombe, Arusha MWENYEKITI wa Democratic Party (DP), Mchungaji Christopher Mtikila, anakusudia kufungua kesi mpya katika Mahakama ya Haki za Binadamu ya Afrika iliyoko...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Vyama vya upinzani Zanzibar vimesema harakati zinazoendeshwa na Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu (JUMIKI) ya kutaka Zanzibar kujitenga katika Muungano, zimepangwa na viongozi ndani ya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mwanaharakati na Mwanasiasa Mchungaji Mtikila Kesi inayounguruma Arusha ambayo ilifunguliwa na Mchungaji Mtikila dhidi ya serikali ya Tanzania ukiukwaji wa haki za binafsi kuhusu mgombea binafsi...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Rais Jakaya Kikwete wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Rais Jakaya Kikwete wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ameonya kuwa mchakato wa kuandika Katiba Mpya usifanywe kwa kuegemea udini, ukabila...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Ustadh Juma Kitunga tayari amewaandikia barua ya kutaka fidia ya sh mill 500 kila mmoja kwa magazeti ya tzdaima na Nipashe kwa kupotosha picha waliotoa inayohusu vurugu za UAMSHO. picha hiyo...
0 Reactions
85 Replies
9K Views
Mwitikio ni mkubwa sana, ukumbi unaelekea kua mdogo.. Bado tunawasubiria makamanda LEMA, DR SLAA, MBILINYI.. Nk pipoooz..
2 Reactions
160 Replies
13K Views
Nimekuwa nikifuatilia mikutano ya chadema kwa karibu sana na kugundua kuwa hujaa watu wengi sana kwa sababu ndio wanaonekana kimbilio pekee la watanganyika , lakini kwa mbali namuona huyu Nnape...
0 Reactions
51 Replies
4K Views
Siku chache zilizopita kumekuwa na tetesi ktk mitandao mabalimbali hapa nchini na mtaani ya kwamba kulikuwa na kikao cha siri kilichofanyika kati ya Mwenyekiti wa CDM taifa(Freeman Mbowe) pamoja...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Ewe Muumba, waangamize wafitini Zanzibar By zanzibardaimaJune 16, 2012 Na Jabir Idrissa, MwanaHALISI la 13 Juni 2012 Ukweli kwamba Zanzibar ni nchi yenye athari na alama ya Uislamu umeipatia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za leo wanajf,muda si mrefu nilikuwa napitia vichwa vya habari vya magazeti mbali mbali nikakuta kwenye gazeti la Uhuru likisema 'BAJETI YAKUNA WENGI'hivi watanzania wenzangu ni kweli hii...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Nimeona ni vyema nimpe angalizo K/mwenezi wa chama cha CCM ndugu Nape, Ni ukweli kwamba CCM ilipofikia sasa kujivua Gamba haiwezekani ila ninaloliona mbele ya chama hiki ni kifo cha mende...
0 Reactions
45 Replies
5K Views
1.Alianza kusinzia bungeni,yeye akadai alikua anatafakari waliompiga picha hawana cha kufanya. 2.Jangwani alikuja na hili nalo: "Napenda kumpa ujumbe Mbowe, Anaposema CCM hatujafanya lolote ana...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ktk eneo lililo sahaulika ktk jiji la Dar ni kigamboni na viunga vyake ili kuhakikisha jimbo linachuliwa 2015 maeneo ya pembamnazi, kimbiji, mwembe mdogo, mwembe matikiti, kisarawe 2, gezaulole...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Imekuwa kawaida ya serikali hii ya magamba kila wakati wa kutangaza bajeti eneo peke yake wanalolionea kulikamua ni kwa wanywaji bia na wavutaji wa sigara, nadhani ni vyema tukawaambia magamba...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jamani taarifa ya habari Leo usiku huu Nape kama kawaida yake akiongea kwa kufoka akiwa Mufindi amesema watumishi wa serikali wanaotumia ofisi za umma kutekeleza matakwa ya vyama fulani vya siasa...
1 Reactions
34 Replies
3K Views
Katika Hali isiyokuwa ya kawaida, siku ya Jana mbunge aw arumeru mashariki Mhe. Nassari dogo janja, aliendesha harambee kwa ajili ya ku drill maji, kujenga vyoo na bweni kwenye shule ya mazoezi ya...
5 Reactions
64 Replies
6K Views
Kiongozi Mkuu wa upinzani nchini na Katibu mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo-CDM Dr Wilbroad Slaa amesema ameshangazwa na kushtushwa na bajeti ya serikali ya mwaka huu. Dr Slaa amesema...
4 Reactions
56 Replies
5K Views
Katika mkutano wa CHADEMA uliofanyika leo hapa KATA YA KIHESA mjini IRINGA chini ya makamanda ZITTO KABWE, MCHUNGAJI MSIGWA, OLLE MILYA , ALLY BANA na makamanda wengine hali ya ccm imezidi kuwa...
6 Reactions
47 Replies
5K Views
Back
Top Bottom