Nape awasambaratisha Chadema Mafinga-Iringa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nape awasambaratisha Chadema Mafinga-Iringa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Jimy P, Jun 15, 2012.

 1. J

  Jimy P Senior Member

  #1
  Jun 15, 2012
  Joined: Dec 7, 2011
  Messages: 125
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nape Nnauye kasambaratisha ngome ya Chadema Mafinga Mjini na Wanachama wa Chadema wamesema wamechonga kuwepo kwenye Chama cha Kikabila na kinachoendeshwa na watu kadhaa utadhani chama ni chao na Familia yao, Hawajawahi hata kusema Mamilioni ya Rukuku wanatumiaje zaidi ya kuweka mifukoni mwao hakuna Kiongozi yeyote wa Mkoa au Wilaya anayenufaika na Mamilioni ya Ruzuku wanayopata kutoka kwenye serikali, Na wakauliza Je wakikabithiwa nchi itakuwaje,,

  Na Nape kawaeleza adhari ya nchi kukabithiwa kwa wanaharakati Duniani haijawah kutokea nchi ikakabithiwa kwa Wanaharakat huwa haitawaliki na CCM HAWAPO TAYARI KUKABITH NCHI KWA WANAHARAKATI, Nchi huwa inkabithiwa kwa chama cha Siasa...

  Tanzania Chama cha Siasa ni CCM Tu coz Viongozi wa vyama vyote ni Oil Chafu iliyomwagwa na Magari ya CCM.
   
 2. F

  Froida JF-Expert Member

  #2
  Jun 15, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Unaposema uongo wakati habari yenyewe imeonyeshwa na TV ya CCM TBC1 unajionyesha ulivyopungukiwa hii ni great thinkers forum sio ya propaganda uwe mwangalifu aibu kuwa mwongo mtu mzima
   
 3. i

  indoor Member

  #3
  Jun 15, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mtu mzima ovyo. unatia kinyaa kwa uongo wako. huoni aibu
   
 4. M

  Molemo JF-Expert Member

  #4
  Jun 15, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Mtu mjinga utamjua kwa uchafu atakaoandika
   
 5. D

  DOMA JF-Expert Member

  #5
  Jun 15, 2012
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 946
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  Kumbe ccm wanagawa ruzuku yao kwa wananchi?
   
 6. BASHADA

  BASHADA JF-Expert Member

  #6
  Jun 15, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 487
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Nimeangalia TBC watu wachache utadhani mkutano wa kijiji alafu hata hiyo ya kurudisha kadi hata haijaonyeshwa, kwa maana haikuwepo, TBC wasingeacha.
   
 7. h

  hoyce JF-Expert Member

  #7
  Jun 15, 2012
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 1,119
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Hivi walieleza lini wanavyotumia ruzuku
   
 8. B

  BBA JF-Expert Member

  #8
  Jun 15, 2012
  Joined: May 27, 2012
  Messages: 319
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kweli mtu mjinga utamjua tu! Huyu jamaa ni moja ya mbumbumbu walioandaliwa na CCM, ila tu hajijui kuwa ni mbumbumbu angalia tu hiyo report aliyoandika
   
 9. QUALITY

  QUALITY JF-Expert Member

  #9
  Jun 15, 2012
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 854
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kama CCM hawako tayari kukabidhi madaaraka kwa wana harakati WAKATI WANANCHI WAMEAMUA; CCM watfanyaje kukataa? Toa jibu
   
 10. Sabayi

  Sabayi JF-Expert Member

  #10
  Jun 15, 2012
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 2,321
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  Ndo tatizo la kufikiria kwa kutumia uwazi ulio katikati ya masaburi badala ya kutumia akili
   
 11. Ghiti Milimo

  Ghiti Milimo JF-Expert Member

  #11
  Jun 15, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 581
  Likes Received: 237
  Trophy Points: 60

  Mi' sijamuelewa! Hivi,hiki nacho ni KISWAHILI?
   
 12. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #12
  Jun 15, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Nape kiboko ya magwanda ya khaki. Anafanya kweli.
   
 13. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #13
  Jun 15, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 6,663
  Likes Received: 3,317
  Trophy Points: 280
  Nimeona kwenye Tbc1!!duh yaani mpaka aibu!hivi kulikuwa hata na haja ya kutumia kipaza sauti?manake UMATI wenyewe haukuzidi watu 60!,wengi wao ni wajumbe wa nyumba kumi na wenyeviti wa ccm mitaani,loh!kweli leo ndiyo nimeamini kuwa CCM kwisha kabisa!.
   
 14. m

  matawi JF-Expert Member

  #14
  Jun 15, 2012
  Joined: Mar 29, 2010
  Messages: 2,055
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Anaweza kuwa siyo raia huyu maana kiswahili siyo mods mfungie kwanza aonyeshe kitambulisho kwanza
   
 15. CHEMPO

  CHEMPO JF-Expert Member

  #15
  Jun 15, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 369
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Chadema inaoonyesha njia wengine wanafwata,,,
   
 16. T

  TEMILUGODA JF-Expert Member

  #16
  Jun 15, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 1,367
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Kumbe wajinga nch hii bado hamjaishaeeee?mwanbieni nepi kwa Iringa kachemka,hapo wakisema basi maana yake basi,ni zaidi ya mwanza na mbeya.watamchekea nepi mwishowe pumpers.
   
 17. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #17
  Jun 15, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Kajifunze kuandika ueleweke. Utachekwa.
   
 18. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #18
  Jun 15, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Nape kiboko yenu, kijana mdogo anawahenyesha ile mbaya.

  Nasikia Mbeya kimenuka!
   
 19. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #19
  Jun 15, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,834
  Trophy Points: 280
  We kweli ni mtoto wa shule ya msingi mbona sio habari bali ni tuhuma?

  Unatwambia habari kishabiki mpaka unata kuanguka upate mtikisko wa ubongo.
  Tafadhali hacha propaganda jaribu kuripoti habari kama mtu mwenye elimu japo kidogo.

  Hii habari ulitakiwa huandike nimetumwa na nyinyiemu niseme
   
 20. T

  TEMILUGODA JF-Expert Member

  #20
  Jun 15, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 1,367
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Kumbe wajinga nch hii bado hamjaishaeeee?mwanbieni nepi kwa Iringa kachemka,hapo wakisema basi maana yake basi,ni zaidi ya mwanza na mbeya.watamchekea nepi mwishowe pumpers.
   
Loading...