Mwenye kujua hili

Comi

JF-Expert Member
Oct 2, 2011
3,328
955
Naombeni kufahamishwa mwenye kujua sababu za ubadilishwaji wa rangi ya bendera ya chadema zaidi ya mara mbili, mara ya kwanza ilikuwa nyeupe na nyeusi,ya pili ikawa ya light bluu na nyeusi na ya sasa hivi nyeupe,nyeusi,nyekundu na light bluu
 
Nadhani Freeman mbowe anajua zaidi, kwani namba yake huna?, ingia kwenye homepage ya chama huenda utapata ufafanuzi.
 
Back
Top Bottom