Wasira kwa komedi ni noma!!

jobe ayoub

JF-Expert Member
Jan 30, 2012
203
99
1.Alianza kusinzia bungeni,yeye akadai alikua anatafakari
waliompiga picha hawana cha kufanya.

2.Jangwani alikuja na hili nalo:
"Napenda kumpa ujumbe Mbowe,
Anaposema CCM hatujafanya lolote ana mkufuru baba yake mzazi aliyefanya
kazi na Mwalimu Nyerere,
Aangalie asije akapata laana ya wazazi wake, kama
ameshindwa siasa aende akarudie mradi wake wa kuuza pombe
bar,”

NB: wenye wazazi wa aina ya Wasira wanalo
 
nchi yetu haina maendeleo kwa sababu ya viongozi wengi wana akili kama za wasirra ambaye ki ujumla alitakiwa awe kijijijini anatunza wajukuu zake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom