Nape: Marufuku kutumia ofisi za serikali kutimiza matakwa ya kisiasa... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nape: Marufuku kutumia ofisi za serikali kutimiza matakwa ya kisiasa...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by BASHADA, Jun 15, 2012.

 1. BASHADA

  BASHADA JF-Expert Member

  #1
  Jun 15, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 487
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Jamani taarifa ya habari Leo usiku huu Nape kama kawaida yake akiongea kwa kufoka akiwa Mufindi amesema watumishi wa serikali wanaotumia ofisi za umma kutekeleza matakwa ya vyama fulani vya siasa sasa marufuku.

  Source: TBC
   
 2. GIB

  GIB JF-Expert Member

  #2
  Jun 15, 2012
  Joined: Mar 2, 2012
  Messages: 337
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Leo kwenye taarifa ya habari TBC1 nimekuona na kukusikia ukitoa maagizo kwa wafanyakazi na watumishi wa umma kama vile Mh. Rais au Mh. Waziri Mkuu anavyo fanya.
  Nape umenishangaza sana, je ni sehemu gani yakatiba inayokuruhusu kufanya unacho fanya? au umetumwa na nani kutoa hayo maagizo.

  My take home msg: maneno bila matendo ni bure -tumeizoea sisiem yenye maneno tupu bila matend.
  Best regards
  GIB
   
 3. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #3
  Jun 15, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,692
  Likes Received: 12,737
  Trophy Points: 280
  Nape anapo elekea ana changanyikiwa.
   
 4. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #4
  Jun 15, 2012
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,202
  Likes Received: 863
  Trophy Points: 280
  Huo ni msimamo mzuri sana; sasa hivi CCM haitafanyia mikutano yake Ikulu tena.
   
 5. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #5
  Jun 15, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Hivi wewe nani aliokutuma hapa kuwa msemaji wetu?
   
 6. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #6
  Jun 15, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,640
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Kweli watapona hapa hawa ccm? Maana wao wanatumia ofisi za serikali kuanzia vijijini hadi ikulu.
  Amenikumbusha enzi zile za Abdul 'Cisco' Mtiro wakati wa kampeni za ubunge temeke alimsema Mrema kuwa mshamba anavaa suti Dar na joto hili bila kumuangalia bosi wake Mkapa.
   
 7. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #7
  Jun 15, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  mleta mada una matatizo aisee............. ina maana hujui hata walio kwenye dawa za vichaa ni akina nani??

  we hujajiuliza kwanini Nape hajawahi kuchukuliwa serious hata na ccm yenyewe?
   
 8. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #8
  Jun 15, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  kasahau ccm wanatumia ikulu na ofisi za wakuu wa wilaya na mikoa ... dogo is going nuts, and he pays media kudivert real issues...

  ana role kama ya malaria sugu tu, kudivert attention na kubwabwaja
   
 9. Edoedward1

  Edoedward1 JF-Expert Member

  #9
  Jun 15, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 799
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 60
  Hahahaa Napee!!..Lol
   
 10. M

  Mjenda Chilo JF-Expert Member

  #10
  Jun 15, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 1,425
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  Ukweli ni kwamba anachomaanisha ni kitendo cha computer nyingi kwenye ofisi nyingi za umma watu wameiweka JF kama default adres. wanaamka nayo na kushinda nayo na usiku wanalala nayo kwenye visimu vyao vya mchina. Hiyo lzm iwe kero kwake.
   
 11. KirilOriginal

  KirilOriginal JF-Expert Member

  #11
  Jun 15, 2012
  Joined: Feb 13, 2012
  Messages: 1,920
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Nape matisho tu, umemtishia Lowasa umekwama sasa nenda kawaambie ccm maana hao hao ndo serikali
   
 12. BASHADA

  BASHADA JF-Expert Member

  #12
  Jun 15, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 487
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Mimi ni mmojawao, mii ofisini kwangu kama net ipo masaa yote jf browser lazima iwepo naomba Nape apewe ripoti hii, na usiku kama hivi kwenye simu. Nape kama una wivu meza wembe
   
 13. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #13
  Jun 15, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,640
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160

  Mbona mmemwachia chama nyie ccm?
   
 14. Massawe mtata

  Massawe mtata Member

  #14
  Jun 15, 2012
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Alikuwa anaimba iyena iyena iyena
   
 15. F

  FJM JF-Expert Member

  #15
  Jun 15, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Mjenda Chilo, hata kama wafanyakazi wanacheza karata ofisini, Nape hana mamlaka ya 'kuwapiga marufuku'. Nape ni publicist wa chama cha siasa na kiongozi wa wafanyakazi wa serikali. Nakuhakikishia huu mtindo wa Nape wa kujipa madaraka kwenye civil service utakula CCM.
   
 16. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #16
  Jun 15, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,969
  Likes Received: 2,963
  Trophy Points: 280
  Kazi nzuri Nape.
   
 17. BASHADA

  BASHADA JF-Expert Member

  #17
  Jun 15, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 487
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Nchi haina mwenyewe sasa hivi ndo kila kitu anajipa cheo chochote kila anapojisikia. Ndiye waziri wa afya, wa utalii, wa fedha, ndiye waziri mkuu, ndiye gavana wa benki, ndiye katibu mkuu wa chama, ndiye waziri wa mambo ya nje, etc. Endeleeni kutaja
   
 18. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #18
  Jun 15, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Anafanya kazi yake ipasavyo, huyo mmoja anawatosha.
   
 19. K

  KISAKA MORIS JF-Expert Member

  #19
  Jun 15, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 372
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wewe unavyoisemea Chadema huwa ni msemaji wa CDM yetu? au unatuonyesha jinsi gani ulivyo mnafiki na unavyodandia mambo yasiyokuhusu'
   
 20. K

  KISAKA MORIS JF-Expert Member

  #20
  Jun 15, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 372
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yani tupo kama nchi ipo kwenye kipindi cha mpito bila serekali'
   
Loading...