Tanzania Daima, Nipashe kudaiwa mill 1000 kwa upotoshaji wa tukio la UAMSHO

Malaria Sugu

JF-Expert Member
Jul 7, 2009
2,653
264
Ustadh Juma Kitunga tayari amewaandikia barua ya kutaka fidia ya sh mill 500 kila mmoja kwa magazeti ya tzdaima na Nipashe kwa kupotosha picha waliotoa inayohusu vurugu za UAMSHO. picha hiyo iliopogwa Morogoro ilitumiwa na magazeti hayo kwa kudai imepigwa ZANZIBAR.

mlalamikaji huo kupitia wakili wake Nassor tayari wameyataka magazeti hayo kuomba radhi na kumpa fidia ya mapesa hayo kabla ya kupandishwa kizimbani kwa hatua nyengine. Amesema yeye na familia yake imeathirika na tukio hilo kwa hivyo.

Source: gazeti la ANNUR

"HIVI HAYA MAGAZETI YETU KWA NINI YANAENDEKEZA UDINI BADALA YA KUFANYA
KAZI KWA MISINGI YA SHERIA NA MISINGI YA UANDISHI WA HABARI?"

 
uamsho juuu...!
 

Attachments

  • UAMSHO.jpg
    UAMSHO.jpg
    36.3 KB · Views: 661
Safi sana hawa waandishi wa habari makanjanja dawa yao ni kuwapeleka mahakamani tu.
 
Hao mbona wepesi tu! Itakuwa kesi rahisi sana kupigwa chini, nawasikitikia kwakuwa wakili wa walalamikaji atakula hela ya bure tu wakati kesi ikipigwa chini. Wao walalamikaji wana utaalam wa picha (forensic detection) kuithibitishia Mahakama pasipo shaka kuwa pale panapowaka moto ni Morogoro? Ujinga nao ni mzigo sana.
 
hao mbona wepesi tu! Itakuwa kesi rahisi sana kupigwa chini, nawasikitikia kwakuwa wakili wa walalamikaji atakula hela ya bure tu wakati kesi ikipigwa chini. Wao walalamikaji wana utaalam wa picha (forensic detection) kuithibitishia mahakama pasipo shaka kuwa pale panapowaka moto ni morogoro? Ujinga nao ni mzigo sana.
hahaha. Mkuu siku ya tukio. Jamaa alikuwa morogoro,anavyvithibitisho vyote maana jamaa alienda polisi siku ya 2 ya tukio/labda waseme picha hiyo sio yake.lkn jamaa anamashahdi wa kutosha
 
Hebu wekeni nakala ya hiyo gazeti tuone picha na caption tujue tunajadili nini.
 
Kwa kukmbukumbu zangu (miaka 30) sijawahi sikia hizi kesi za kudai fidia zimeisha na mtu akalipwa especially wanaowashitaki wanahabari. Mfana Manji kumshatki Mengi, Rostam kumshitaki Saed Kubenea n.k huwa wanadai fedha nying sana lakini kesi huisha pasipotarajiwa. Kwani Uamsho hawakufanya fujo?
 
Huyo Sheikh kabla ya kuyapandisha kizimbani magazeti ya Tanzania daima na Nipashe kuomba fidia ya mamilioni ya pesa tunaomba kwanza atulipe makanisa yetu na biblia zetu alizochoma moto.
 
kwa kukmbukumbu zangu (miaka 30) sijawahi sikia hizi kesi za kudai fidia zimeisha na mtu akalipwa especially wanaowashitaki wanahabari. Mfana manji kumshatki mengi, rostam kumshitaki saed kubenea n.k huwa wanadai fedha nying sana lakini kesi huisha pasipotarajiwa. Kwani uamsho hawakufanya fujo?

hahaha. Waulize gazeti la tazama dhidi ya sheikh bassaleh. Mamilion yametoka. Acheni udini kuumbatia badala hali halisi
 
huyo sheikh kabla ya kuyapandisha kizimbani magazeti ya tanzania daima na nipashe kuomba fidia ya mamilioni ya pesa tunaomba kwanza atulipe makanisa yetu na biblia zetu alizochoma moto.
makanisa ya tzdaima ya mbowe na nipashe ya mengi yamekuwa siku hzi ya kanisa na biblia?
 
njaa hiyo,uamsho mdudu gani ndani ya hao waislamu,kama wameathirika wamekufa?anaona rahisi kuzitaja,awatumie mascud maana wao si wataalamu
 
Back
Top Bottom