Kifo cha CCM hakiko mbali, ni mamuzi ya CHADEMA tu kusema lini kuzima (life support machine)

Kakke

JF-Expert Member
Dec 4, 2010
1,883
1,482
Bonyeza uone Umma ulivyo ikubali Chadema

16062012069.jpg


16062012067.jpg



Chadema Blog: CHADEMA WAFANYA MKUTANO MKUBWA IRINGA LEO
 
Niliwaambia siku moja,waacheni waibe tu.Iko siku yatatimia tu wataiba lakini wakati utaisha kabla hawajazitimiza.Wakati ndio huu.
 
Kazi ya kuiondoa ccm imekua rahisi mno tofauti na ilivyodhaniwa, wao wenyewe wamejilipua wafe wote
 
Mchele na maharage ya hitima tumesha andaa 2014 ndio hitima yao.RIP CHOO CHA MAKUTI (CCM)
 
Back
Top Bottom