Vigogo wa CCM Iringa wazidi kuvua gamba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vigogo wa CCM Iringa wazidi kuvua gamba

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Bilionea Asigwa, Jun 16, 2012.

 1. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #1
  Jun 16, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,841
  Trophy Points: 280
  Katika mkutano wa CHADEMA uliofanyika leo hapa KATA YA KIHESA mjini IRINGA chini ya makamanda ZITTO KABWE, MCHUNGAJI MSIGWA, OLLE MILYA , ALLY BANA na makamanda wengine hali ya ccm imezidi kuwa mbaya baada ya vigogo mbalimbali wa chama hicho mkoani hapa kuzidi kukikimbia

  waliovua GAMBA na KUVAA GWANDA ni
  1) KATIBU MWENEZI WA CCM IRINGA VIJIJINI(kilolo) bwana YOHANA MVENA
  2)ALIYEKUWA MGOMBEA UBUNGE CCM(huyu ni mwanaume tofauti na mama monica..sijajua kama ni aliyebwagwa kwenye kura za maoni au la..kajitambulisha kama somebody ZUBERI..ila katambulishwa hivyo)
  3)MJUMBE BARAZA LA UTEKELEZAJI la vijana Iringa vijijini MICHAEL MVILA (aliyetembea kwa mguu toka iringa vijijin mpaka hapa mkutanoni kusaka kadi ya CDM)
  4)KATIBU WA UMOJA WA VIJANA CCM SINGIDA(jina nimeshindwa kulidaka vizuri)
  5) KADA NA MSOMI MAARUFU WA CCM mjini iringa DR LUGAZILA

  kwa kifupi watu walikua wengi sana mpaka barabarani na imebidi askari wa usalama kuingilia kati ili kuweza kusaidia magari kupita kutokana na wingi wa watu

  katika hoja nzito za bwana KABWE alizozitoa mkutanoni ni pamoja na kupinga bajeti ya mwaka huu bungeni na kuikwamisha kwani imekiuika mapatano ya bunge na kamati za bunge kama yalivyopendekezwa wakati bado MKULO akiwa waziri wa fedha.

  hoja nyingine ni kuongezeka kwa deni la taifa ambalo mpaka may 2012 tunadaiwa trillion 22 za kitanzania hali inayopelekea kila kichwa kudaiwa shilingi laki nne la elfu themanini na nane(488,000) pamoja na ongezeko jingine la trilion5 ampazo zinatarajiwa kukopwa soon ili ku run bajeti ya sasa hali itakayoplelekae tudaiwe trillion 27

  PICHA ZITAKUJA SOON
  pamoja sana wakuu
   
 2. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #2
  Jun 16, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  sijui 2015 itakuwaje,ngoja tusubiri
   
 3. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #3
  Jun 16, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Safi sana, wao wanarudisha kadi ambazo hazina hata majina sisi tuna wavua viongozi wao.....mpka raha
   
 4. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #4
  Jun 16, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Mkuu Mgombea ubunge wa CCM dhidi ya Msigwa hapo Iringa Mjini si alikuwa Mama Monica Mbega? Huyo unayesema alikuwa mgombea ubunge mbona siyo Monica? Au alikuwa kwenye kura za maoni pamoja na akina Mwakalebela? Lete habari zilizohaririwa mkuu. Tupashe.
   
 5. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #5
  Jun 16, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Thanks mkuu, M4C inapaa!
  Usisahau picha na majina kamili.
   
 6. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #6
  Jun 16, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Hivi watafika kweli kwa mwendo huu au niupepo tu kama anavyosema mwenyekiti wao....
   
 7. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #7
  Jun 16, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Kama unataka taarifa zilizo haririwa subiri tanzania daima, Mwananchi, Nipashe kesho...samahani kama nimekukwaza.................................
   
 8. papason

  papason JF-Expert Member

  #8
  Jun 16, 2012
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 2,317
  Likes Received: 634
  Trophy Points: 280
  Weraaaa Weraaaa M4C!
   
 9. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #9
  Jun 16, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 732
  Trophy Points: 280
  Hongera zitto,

  Mtoa mada, wananchi kuhama toka CCM kwenda vyama vingine vya upinzani sio Breaking news, kwa kuwa CCM ilikuwapo kabla ya hivyo vyama, hivyo kwa muono wa kawaida baada ya mfumo wa vyama vingi ni lazima watoke watu toka CCM waingine vyama vingine.

  Jikiteni katika kutafuta wanachama wapya, Kuna watu wengi sana TZ hawana vyama.  Ni hayo tu

  Tume ya katiba
  Chumbuni, Jamuhuri ya watu wa Zanzibar
   
 10. Scofied

  Scofied JF-Expert Member

  #10
  Jun 16, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 2,025
  Likes Received: 199
  Trophy Points: 160
  hiyo na nguvu ya umma sasa,M4C kazini ....viva chadema...
   
 11. dudus

  dudus JF-Expert Member

  #11
  Jun 16, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 7,769
  Likes Received: 6,098
  Trophy Points: 280
  Mpinzani wa Msigwa kutoka magamba alikuwa Mama Monica Mbega ambaye alipitishwa kimizengwe baada ya kubwagwa vibaya kwenye kura za maoni za magamba na Mwakalebela aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa TFF.

  Baada ya Mbega kubwagwa ubunge na Msigwa, alipoozeshwa kwa kacheo fulani hivi na JK.

  Hebu fafanua vizuri hapo kwenye
  red Mkuu.
   
 12. Apolinary

  Apolinary JF-Expert Member

  #12
  Jun 16, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 4,698
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  duh nape aje kukanusha hapa kwa kuongea ugoro
   
 13. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #13
  Jun 16, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Acha kuwewe seka chadema haiwezi kuchukua nchi bila watu kuhama kutoka CCM na watu ambao hawana chama kujiunga na chadema hawa wako wengi huwa hatuandiki....
   
 14. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #14
  Jun 16, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  wakubwa!moto wa M4C ni kiboko yao,kasi ya chadema ni mauaji yao.Magamba vichwa vinawauma,hapatoshi.....Mungu ibariki CHADEMA
   
 15. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #15
  Jun 16, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  atasema oil chafu hao.....
   
 16. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #16
  Jun 16, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,841
  Trophy Points: 280
  POLE SANA TUME YA KATIBA na kesho NEPI naye yuko huku na mkutano wake na bahati mbaya wananchi wamepanga kwenda kwenye mkutano wake wakiwa wameshika vichwa huku wanalia..magamba mna tabu sana mwaka huu hasa huku kusini
   
 17. Mumwi

  Mumwi JF-Expert Member

  #17
  Jun 16, 2012
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 592
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hao wote ni oil chafu
   
 18. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #18
  Jun 16, 2012
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,684
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Hivi huyo mama si ni marehemu?...
   
 19. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #19
  Jun 16, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  hahahahahahahahahahaha......
   
 20. papason

  papason JF-Expert Member

  #20
  Jun 16, 2012
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 2,317
  Likes Received: 634
  Trophy Points: 280
  Walisema CDM ni chama cha msimu sasa maji ya shingo, tume wakaba kila kona na bado!

  Go MC4 Go!
   
Loading...