Kuhusu Bajeti ya mwaka huu serikali ya CCM inakaribia mwisho wake-Dr Slaa

Molemo

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
14,534
13,225
Kiongozi Mkuu wa upinzani nchini na Katibu mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo-CDM Dr Wilbroad Slaa amesema ameshangazwa na kushtushwa na bajeti ya serikali ya mwaka huu.
Dr Slaa amesema serikali ya CCM imefikia mwisho wa kufikiri kwa kuomba misaada na mikopo kwa wahisani kwa lengo la kukidhi fungu la matumizi ya serikali.Dr Slaa amesema hakungekuwa na tatizo kama mikopo na misaada ingeelekezwa kwenye maendeleo kama ujenzi wa viwanda nk.Dr Slaa alihoji unakopa ili mlipane mishahara na marupurupu?
Dr Slaa alishangazwa pia na serikali kutegemea vinywaji kila mwaka katika kuongeza kodi na kusema huko ni kukosa ubunifu.Mbona hawaangalii madini? Alihoji kiongozi huyo.
Dr Slaa aliponda pia uamuzi wa kuanzisha kodi maalum kwenye plate namba za magari zenye majina ya watu na kusema huko ni kuleta matabaka katika nchi na kuhalalisha mafisadi kutamba na fedha zao haramu.

Source:Tanzania Daima Jumamosi
 
Ukiona maeneo ambayo hawataki kuelekeza nguvu sana kwenye kukusanya kodi ujue ndiko kwenye maslahi yao! Mfano mikataba ya madini inawanufaisha sana vigogo hivo hawataki kabisa iguswe! Mahoteli ya utalii na vitalu vya uwindaji na makampuni ya utalii ndio kabisaa hayaguswi kwa kuwa wao ndio wamiliki!aibu kwa taifa kama letu kukopa hata pesa ya matumizi ya kawaida!!aibu kwa taifa kutegemea pombe kama chanzo kikuu cha mapato!! hawa tunaowaita wawekezaji mchango wao ni upi kwenye bajeti yetu?? au ndio wale wanafanya shuguli zao bure bila kodi grace period ikikaribia kuisha wanabadili jina la kampuni??KUICHAGUA CCM KWELI LILIKUWA JANGA LA KITAIFA!!!
 
Kaka nikupongezaje kwa uliyonena. I just like it
 
Slaa anajua nini kuhusu bajeti? hivi si vituko waungwana?
Ama kweli!! Mheshimiwa unatoka pori gani wewe? ha! ha! ha! Hapa kinachoongelewa ni hoja na sio mtu!! Great minds discuss ideas; average minds discuss events; small minds discuss people... (Eleanor Roosevelt).
 
You made my day
 
Ukiona maeneo ambayo hawataki kuelekeza nguvu sana kwenye kukusanya kodi ujue ndiko kwenye maslahi yao! Mfano mikataba ya madini inawanufaisha sana vigogo hivo hawataki kabisa iguswe! Mahoteli ya utalii na vitalu vya uwindaji na makampuni ya utalii ndio kabisaa hayaguswi kwa kuwa wao ndio wamiliki!aibu kwa taifa kama letu kukopa hata pesa ya matumizi ya kawaida!!aibu kwa taifa kutegemea pombe kama chanzo kikuu cha mapato!! hawa tunaowaita wawekezaji mchango wao ni upi kwenye bajeti yetu?? au ndio wale wanafanya shuguli zao bure bila kodi grace period ikikaribia kuisha wanabadili jina la kampuni??KUICHAGUA CCM KWELI LILIKUWA JANGA LA KITAIFA!!!

Umesema vema sana mkuu.
 
Back
Top Bottom