mkutano wa Chadema unaendelea kwa sasa katika ukumbi wa POLISI JAMII-dodoma,wapo akina bowe,Tundu,Silinde na wabunge mbalimbali wa Chadema.Kwa sasa Tundu Lissu ndiyo anafungua dimba
Nape ni mwanasias bora na mzuri nakijana mahiri kwa siasa za nchii lakini mimi namshauri aangalie mara mbili juu ya yeye kunga'ang'ania CCM ni vizuri akakiacha hicho chama na kufuata huu ushauri...
katika hali inayo elekea kuwa vugu vugu la mabadiliko ninaichanganya serikali ya ccm,hatimaye wale waathirika wa mafuriko ya mwaka jana mwezi wa kumi na mbili waliosota kwa mda wa takribani miezi...
Msiahidi Tendeni
JUMAMOSI iliyopita chama-tawala, CCM, kilionyesha kuwa kumbe bado kinaweza kukusanya maelfu kwa maelfu ya wanachama na mashabiki wake na kikawaweka kwa muda wakisikiliza hotuba...
usipoziba ufa utaujenga ukuta!!kwa nini mara zote tunasubiri watu wafe ndio tujidai kuhangaika kumaliza migogoro?
Uamuzi wa madaktari kuongezewa maslahi kutolewa kesho
Na Beatrice Shayo
17th...
CDM kesho kupitia kwa waziri kivuli wa fedha na na naibu kiongozi wa upunzani bungeni Zitto Z. Kabwe anawasilisha bajeti mbadala ya ya ile ya serikali iliyowasilishwa na waziri wa fedha William...
Nakumbuka kuliundwa tume ya kushugulikia kero za muungano ikiwa na wajumbe kutoka Zanzibar na kutoka Bara na ikashauriwa angalau kila baada ya miezi 3 viongozi wakuu katika serikali wawe...
"Mnaponitukuza na kunisifu nawashukuru. lakini nami kwa upande wangu nawarudishia ninyi ndugu zangu sifa hizi, kwani bila ya ninyi, kelele zangu zisingesaidia kuleta uhuru huu tunaojvunia leo"
JK...
1. Ugumu wa maisha.
2. Ukosefu wa ajira kwa vijana.
3. Matumizi makubwa na ya anasa kwa viongozi.
4. Kupeana nafasi za uongozi kishkaji.
5. Ongezeko la wasomi wengi wasio na ajira.
6. Kuchoshwa na...
Mama Kikwete akihutubia.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete na Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA, akiwa amemshika mtoto mchanga baada ya kukabidhiwa na wazazi wake baada ya ushuhuda walioutoa...
Habari wana JF,
naomba kujuzwa hali ya mbunge Wetu Highness maana kuna tetesi za mtaan nimezipata ambazo si nzuri kuwa huko aliko India hali si nzuri baada ya kuchelewa kupata tiba hasa sehemu...
HARAKATI za mabadiliko zinazoendeshwa na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia kaulimbiu ‘Vua Gamba Vaa Gwanda' imezidi kushika kasi mkoani hapa baada ya wanachama 70 wa...
Mbunge wa jimbo la Nzega Mh Kigwangala ameonyesha ukomavu wa kisiasa, moyo wa kujiamini na kujitambua kama Mwakilishi wa wananchi na siyo mwakilishi wa chama chake kwa maana ya CCM!
Mh...
Watanzania,
Naomba kama Taifa na katika ngazi za familia zetu, Vijiji na Vitongoji, Kata, Tarafa, Wilaya, Mkoa na Taifa tuwekeze sana katika VITABU ambavyo vinatupa ujuzi, Maarifa Zaidi na mbinu...
Naomba kuwauliza wadau wa Jf, kwa anayemfahamu vizuri mbunge wa Iramba Magharibi na mjumbe wa halmashauri kuu ya CCM na aliyekuwa Meneja wa kampeni za mgombea ubunge jimbo la Arumerumeru mashariki...
Leo wanafanya mkutano wa hadhara Mecco kaskazini pamoja na uzinduzi wa ofisi, hii ni kwa mjibu wa matangazo yanayoendelea kutangazwa muda huu. Eneo utakapofanyikia ni katika viwanja vya majanini...
Heshima kwanza!
Leo nimechagua lugha ya mafumbo kuwakilisha misuguano ya kifikra juu ya kupanda kasi kwa CHADEMA na kuyumba kwa CCM. Natambua wapo wanabodi ambao hawapendi kusoma makala ndefu...
Uvumi ulioenea kuwa Mbunge wa Korogwe Vijijini Steven Ngonyani a.k.a. Prof. Maji Marefu (C.C.M) amefariki dunia
Sio wa kweli baada ya yeye mwenyewe kutembelea baadhi ya mitaa kuuthibitishia uma...
Constitution must empower electorates to remove MPs, Councillors -any time (mirror digest 15-21, June 2012). I fully subscribe to this thinking but I see one major barrier to smooth execution of...
Kufuatia maombi ya Watanzania wengi hasa waishio nje ya Tanzania, Arusha Mambo tutarudio Kipindi cha Bajeti ya Mwaka 2012 - 2013 iliyosomwa Bungeni Dodoma siku ya Alhamisi tarehe 14, Agosti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.