M4C inahitajika mji mpya Kigamboni

Mgelukila

JF-Expert Member
May 27, 2012
224
43
Ktk eneo lililo sahaulika ktk jiji la Dar ni kigamboni na viunga vyake ili kuhakikisha jimbo linachuliwa 2015 maeneo ya pembamnazi, kimbiji, mwembe mdogo, mwembe matikiti, kisarawe 2, gezaulole, mwasonga, kibugumo, kibada, mjimwema, vijibweni, kisiwani, kizota, twamoyo, mikwambe, tuangoma...nk m4c ina hitajika hata uchaguzi uliopita kampeni ziliishia mbagala zakiem, watu wanahitaji mabadiliko kuukomboa mji mpya.
 
ah kigamboni watu wa kigamboni bado wana fikra mgando sana..ngoja kwanza wakishahamishwa mji mpya ukajengwa labda wazawa wengi watatawanyishwa maana yale mambo ya u yakhe bado mengi sana kigamboni
 
ah kigamboni watu wa kigamboni bado wana fikra mgando sana..ngoja kwanza wakishahamishwa mji mpya ukajengwa labda wazawa wengi watatawanyishwa maana yale mambo ya u yakhe bado mengi sana kigamboni

Ni kweli huku uzawa mwingi lkn watu wanamalizia vibanda vyao kwa kasi na kuhamia labda wataleta maendeleo, kama kusini wameelewa hata huku wakipata mguso watapagawa.
 
Back
Top Bottom