Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

KWA wote wenye uchungu, nenda mkajifungue, Mbunge katupa uvungu, hili tukalitambue, Wao hawana uchungu, acheni watu waliwe, Wenye uchungu na nchi, tokeni mjifungue ! Wagoma madaktari...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
27th June 2012 Salehe Nassor Juma (CUF) A hot debate ensued yesterday in the House of Representatives over Zanzibar's benefits in the Union government while some speakers openly declaring...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wana JF ninaomba mnijuze majukumu ya waziri Lukuvi siyafahamu. Mara nyingi namwona ni mtu wa kuomba mwongozo na kutoa taarifa bungeni. Wadhifa huo una tija yoyote kwa maendeleo ya nchi?
0 Reactions
48 Replies
5K Views
huku madaktari wamegoma huku daktari kiongozi anatekwa na kuteswa vibaya kiasi cha kutaka kutolewa roho huku waziri mkuu anasema liwalo na liwe kwa huu mgomo wa madaktari huku spika anaruhusu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Rais wa Tanzania atasafiri muda wowote kuhudhuria sherehe inaitwa Canada Day 2012 nchini canada,mawazo yetu wote tunatazama kwa makini kama safari hii ataacha madaktari wamegoma na watanzania...
1 Reactions
72 Replies
6K Views
Ofisi za TCU zimevamiwa usiku wa kuamkia leo na watu wanaodhaniwa kuwa ni majambazi. Walinzi wake wamelewa kwa kinachaodhaniwa ni madawa ya kulevya waliyonyweshwa na hadi majira ya mchana huu...
1 Reactions
54 Replies
5K Views
Wakuu, Ningependa kujua Dr Festus Limbu ameleta maendeleo gani pale Magu?au na yeye umefika muda kama Kimiti na Mzindakaya?
0 Reactions
22 Replies
8K Views
Hivi ni kwanini sisi watanzania ni waoga namna hiyo,nimetangaza azma ya kufanya mabadiliko tunahitaji wabunge vijana kwa mkoa wa iringa eti watu wanaogopa ni lini tutakuwa weledi wa malengo yetu...
0 Reactions
2 Replies
998 Views
Ni mjadala mkali karibu tutazame, ila MACHALI yuko good zaidi.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kweli tunakoelekea siyo, kingozi anapo acha kujibu hoja za maana anaanza mambo ya chadema ya ukanda,Zito kauliza katika muungano wa Zanziba na TZ sijawahi kusikia mkuu wa majeshi ametoka...
0 Reactions
73 Replies
7K Views
Hivi hii TBC taifa inayoendeshwa na kodi zetu mbona huwa inatangaza tu kipindi cha maswali na majibu bungeni na baada ya maswali kwisha wanakatisha matangazo na kutupigia miziki. Hii radio ina...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mtakubaliana na mimi kwamba. Prof. Baregu aliona mbali sana kable ya kuandika haya makala. Aliyoyazungumzia ni kama utabiri wa aina fulani. Huyu nzee amenifundisha pale mlimani, na kusema kweli ni...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Kaka Wenje,yule mbunge wa nyamagana,leo kanitamanisha,bora mjengoni wakabaki wabunge wa Chadema peke yao,kuliko wabunge wote wa Ccm..! Kachangia vizuri sana,,,suala la ukubwa wa Balaza la mawaziri...
0 Reactions
59 Replies
5K Views
Watanzania sita wenye account Nchini Uswiss wamekutwa na jumla ya Tzs 300.00 Billion. Fedha ambazo kama zingetumiwa vizuri; zingeweza kutatua matatizo mengi wanayoyalalamikia Madaktari na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Watanzania wamechoka kusikia habari za rushwa iliyotolewa katika ununuzi wa rada ya nchi. Suala hili limejadiliwa Bungeni zaidi ya miaka 4 sasa bila kuona wahusika wanachukuliwa hatua badala yake...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
WAnasema Zanzibar ni koloni la TAnganyika; wanatuita watu wa bara kuwa ni "wakoloni"; wanasema bila hata kufikiria kuwa ati Muungano hauna uhalali kwa vile hakukuwa na kura ya maoni; kwamba ati...
11 Reactions
145 Replies
12K Views
Kesho asubuhi kuanzia saa moja kamili asubuhi wabunge wawili wa kamati ya kudumu ya bunge ya huduma za jamii, mh Dkt Hamis Kigwangalla (CCM) na Mh Dkt Hussein Ali Mwinyi ambaye ni mb na waziri wa...
2 Reactions
37 Replies
4K Views
Watanzani tulidai uhuru kutoka kwa wakoloni wa kizungu ili tuache kunyonywa na kukandamizwa.Sasa mtanzania mwenzangu hebu jiulize ktk hayo kweli tumefanikiwa?Hivi watu wanaotuibia kama mafisadi...
0 Reactions
3 Replies
977 Views
Wana JF heshima, Nimejaribu kupitia wavuti ya bunge letu kutaka kujua mambo kadhaa yanayoendelea bungeni.Lakini nikakutana na profile ya wabunge ambao tangu wachaguliwe bungeni hawajawahi kuuliza...
4 Reactions
102 Replies
10K Views
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda ametangaza kiama kwa vigogo wa dawa za kulevya na kuwataka watafute kazi nyingine za kufanya vinginevyo siku za kukamatwa kwao zinahesabika.Pinda alisema hayo jana...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…