CCM, CUF reps differ over Union | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM, CUF reps differ over Union

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by abdulahsaf, Jun 27, 2012.

 1. a

  abdulahsaf JF-Expert Member

  #1
  Jun 27, 2012
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 859
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  27th June 2012  [​IMG]

  Salehe Nassor Juma (CUF)

  A hot debate ensued yesterday in the House of Representatives over Zanzibar's benefits in the Union government while some speakers openly declaring that they were not in favour of the set-up.

  The Representatives were contributing to the budget estimates for the office of the Second Vice President of Zanzibar during the ongoing House of Reps meeting at Chukwani, Zanzibar.

  A representative for Wawi constituency Salehe Nassor Juma (CUF) said Isles' residents are not benefiting from the Union, adding: "I would like to declare that I don't like the union because it is not benefiting us economically due to poor systems. For over 48 years now, leaders have failed to find solutions to Union problems…there is need to break it", he said.

  Kitope representative, Makame Mshimba Mbarouk (CCM) claimed the current system of Union government operations has denied Zanzibar benefits from the natural gas which is plenty in Tanzania Mainland.

  Abdalla Juma Abdalla (CUF) from Chonga called on government executives to consider suggestions given by different stakeholders who want Tanganyika and Zanzibar to separate.

  "We should consider people's opinion on matters of the Union", he noted.

  Special Seats Representative, Asha Bakari Makame (CCM) and Vice Chairperson of Zanzibar Women Wing (UWT) called on representatives to stand for the benefits of Zanzibaris in the Union government.

  A representative for Mji Mkongwe Ismail Jussa Ladhu (CUF) blamed government officials over failure to find solutions to Union matters.

  Tabling the budget estimates for the 2012/13, State Minister, Second Vice President's Office Mohamed Aboud Mohamed said the union has registered a lot of economic successes.

  He called on Zanzibar residents to turn out in big numbers to air their opinions to the Constitution Review Commission.


  SOURCE: THE GUARDIAN
   
 2. a

  abdulahsaf JF-Expert Member

  #2
  Jun 27, 2012
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 859
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Jee Watanganyika muliovaa Ngozi ya Tanzania hamujuwi kukutaliwa nyie? ikiwa imefika hadi Wananchi wa Zanzibar na viongozi wao na wabunge wao wa Baraza la wawakilishi wanasema basi tumechoka nyiyi bado munangagania tu hamuoni haya wala aibu nyiyi bado mumungagania tu Muungano Muungano.

  Habu vunjeni Muungano sio kubweka oohh tukivunja Muungano sijuwi vitunguu vibovu na mbatata mbovu hatuwaletei oooh siju Wazanzibar waloko bara wana maduka na majumba makubwa eboo, kwani hawapo wachina na wahidi,Warundi na wengineo wenye majumba na kufanya biashara hapo na wala hawako kwenye Muungano nchi zao na Tanzania? au mumewaona wazanzibar tuu?.

  Vunjeni Muungano na hao Wazanzibar walopo hapo watachagua ama kuishi hapo kwa kufuata sheria zote za nchi kama Wachina,na wengineo au watarudi Nyumbani kwao zanzibar na kupewa Good welcome kwa vile ni kwao.

  Lakini sio tuze nchi yetu kwa wazanzibar eti wako Tanzania ilokuwa Tanganyika.
   
 3. u

  umsolopagaz Member

  #3
  Jun 27, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 73
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ...wapo kweli kama wageni..wakiishi kwa vibali maalum, na kama wageni wakitakiwa kuwa na kiasi fulani cha mitaji ili wakubalike kuwa ni wawekezeshaji wa kigeni kwa mujibu wa sheria (kitu ambacho kitawarudisha huko wenzenu wengi ),....wapo kweli lkn sheria ya umiliki ardhi inawabana, kitu ambacho kitawakuta wazanzibar nje ya muungano, hawa wageni uliowataja hawaruhusiwi kusafirisha chakula kupeleka nchini kwao, kitu ambacho wazanzibar jiandaeni nacho nje ya muungano, wapo pia lkn kama wageni, kisheria hawaruhusiwi kufanya kazi zote ambazo watanzania wanaweza kuzifanya...nadhani kazi zinazofanywa na maelf ya vijana wa kizanzibar hapa ndio zile zinazoingia kwenye "fungu hilo"...kwa ujumla hasara ni zaidi ya faida...na hili,(ingawa kwa kiwango cha chini) litakuwepo pia kwa tanganyika...tafakari!
   
 4. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #4
  Jun 27, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,916
  Likes Received: 2,344
  Trophy Points: 280
  Yule shekhe ulietaka kumuua hajambo?
   
Loading...