Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mkuu, Waziri kivuli wa fedha na ambaye ni naibu kiongozi wa upinzani bungeni na mbunge wa Kigoma kaskazini Mh.Kabwe Zuberi Zito pamoja na mtoa matusi mkuu wa ccm na mbunge wa Mtera Mh. Livingstone...
0 Reactions
0 Replies
949 Views
Nimeshangazwa kwa kitendo cha kutolewa nje ya ukumbi wa bunge Mh. Mnyika kwamba amemdhalilisha Rais kwa kusema ni dhaifu. Ninachojiuliza ni kwamba, Rais akiwa dhaifu haitakiwi kusema? Nadhani hizi...
1 Reactions
0 Replies
846 Views
WanaJamvi, Just look at this and see what a difference between us and them 'donors' WAZIRI MKUU WA UHOLANZI,BW MARK MUTTE AKITOKA KAZINI KUELEKEA NYUMBANI , AKITUMIA USAFIRI WA...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Watanzania wote anataka kukubali akubali asiyetaka kukubali achomoe tu. Nimefanya utafiti wa muda Mrefu sana nimebaini yafuatayo:- · Chama cha mapinduzi hakistahili kuwepo kwenye...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jana baada ya mnyika kutolea nje ya bunge palisikika makofi ya furaha, swali ni je waliofurahi walifurahia shida za wananchi au walifurahia ulaji wao. Na je nini hatima ya ushangiliaji wa kivyama...
0 Reactions
6 Replies
978 Views
Nafananisha Wabunge wetu wa bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa wapiga kura wao kama ilivyo kwa Wasanii wa filamu na Muziki kwa mashabiki wao. Kila Msanii ana mashabiki wake kwa sababu tu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
kwa mujibu wa katiba ya yetu ya mwaka 77, ili mtanzania agombee ubunge, anapaswa kuwa na umri usiopungua miaka 22. ruhusa huu umefanya bunge letu liwe na wabunge wengi vijana. ni jambo zuri...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Jana nilipata bahati ya kusikiliza marudio ya hotuba ya Mbunge wa Jimbo la Ubungo Mhe John Mnyika iliyosababisha atolewe nje ya ukumbi, wakati akitolewa nje Mhe John Mnyika alikuwa akisisitiza...
0 Reactions
0 Replies
955 Views
Wahi kuamka upate uhondo huo, katika chanel ya Tbc moja.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
TZ daima la kesho: UDHAIFU WA KIKWETE WAZUA BALAA BUNGENI, MNYIKA ATOLEWA NJE BAADA YA KUUVULIA UVIVU. Kufuatia udhaifa wa rais Jakaya kikwete ambao umekuwa ukipigiwa kelele na wadau...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Na Happiness Mtweve, Dodoma MKUU wa Wilaya mpya ya Momba, mkoani Mbeya, Abiud Saideya, ametuhumiwa kuhongwa gari la kifahari na mwekezaji mmoja ili akubali kuwahamisha wananchi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Home News A new report by Interfaith Standing Committee on Economic Justice and Integrity of Creation (ISCJIC) said investors were increasingly taking advantage of loopholes in the tax...
0 Reactions
2 Replies
865 Views
Hao kazi yao kupiga meza ,kulala usingizi,umbeya.Hapo bungeni ni eneo la kuongelea issues za Taifa sio mambo ya mke wako.NDUNGU ZANGU WATANZANIA TUMEONA SASA KUMBE KUNA WABUNGE NA WASHABIKI.SASA...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimekuwa nikijiuliza kuna nini kati ya madr wetu na nchi kama kenya na rwanda sipati jibu. Serikali inakusanya tril 8 halafu inatumia tril 10 hizo mbili nani analipa? Na je ikikaa madarakani miaka...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wed, Jun 20th, 2012 Tanzania | Wed, June 20th,2012 Zanzibar will be prosperous if it improves financial discipline, and set-up its own central Bank and currency, some legislators said when...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Bunge la Tanzania limemchangua Mbunge wa ilala(CCM)Dar es salaam, Mussa Azzan Zungu KUWA mwenyekiti wa Bunge. Spika wa Bunge hilo,Anne Makinda amesema leo kwamba amechaguliwa baada ya kamati ya...
0 Reactions
38 Replies
7K Views
duniani sijawahi kusikia serikali ya anc,democratic
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wataala,wazolangu kunahaja ya kuunganisha matukio yote ya bungeni juu ya kudai haki za walalahoi,kutengeneza video itakayotukumbusha tulikotoka, kama hazina ya kizazi kijacho.kwani matukio...
0 Reactions
0 Replies
795 Views
Viongozi wa kitaifa Mawaziri na wabunge wa CCM wameshindwa kabisa kufikiria juu ya kuokoa nji hii! Kukua na kupanuka kwa kasi kwa CHADEMA Na asasi za kiraia na wanaharakati kumewafanya badala...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
katika ile hali ya kujiweka sawa na kuimarisha chama, ccm wamekuja na mbinu mpya ya kutaka kurudisha imani ya chama chao iliyopotea mbele ya wana nchi, kila mbunge wa ccm awe wa kuchaguliwa, awe...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Back
Top Bottom