Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nimemsikia Chiku Abwao bungeni leo jioni akisema kwa niaba ya cdm anajua bajeti ya 2012/13 itapita kwa kishindo kwani Cdm hawana uwezo wa kuizuia kwahiyo Wao nao wanatmiza wajibu tu....
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Hivi kazi ya raisi wetu ni nin? Maana kunaweza kukawa na jambo zito la kitaifa kama vile taifa kuwa halina umeme na lipo gizan, utasikia leo Rais alikuwa kwenye sherehe au anaapisha watu as if he...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hii ni aibu kwa taifa... Badala ya bunge kujadili hatma ya wananchi wao wabungee waccm wanaonyesha upuuzi wao hadharan kwa kumzawadia hela mpuuzi mwenzao mwigulu nchemba.. Hivi kweli tumefikia...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Huwa anazua sekeseke kila akichangia. Tusubili tuone ana nini jipya leo. Mia
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Tumeona wabunge wa mikoa ya ziwa wanaungana kuhusu pamba na uvuvi,kaskazini kuhusu masuala ya utalii na kahawa na magharibi kuhusu reli lakini wabunge wetu pamoja na kuwa na matatizo makubwa ya...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Na hii ni siasa? hope utakuwa umekosea jian mkuu! pole sana
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Baraza la wawakilishi lafunguka: Tusilazimishane katika muungano huu. Watanganyika wanatuhadaa Mwakilishi wa Uzi Ibrahim Razawanabodi...
1 Reactions
34 Replies
5K Views
Enji wavuta sigala wa tanzania, tafadhali tunawasihi sana ongezeni kasi ya kuvuta sigala, tuko chini ya miguu yenu tafadhali,chondechonde fanyeni juu chini mhakikishe kuwa kila mmja japo anatumia...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Namtambua kama mtangazaji wa channel ten na magic fm..kwa wapenzi wa morning magic watakuwa wanamfahamu vizuri.. anaonekana ni mtu mwenye akili mingi sana na ufahamu wa hali ya juu..ana uelewa na...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kulikuwa na mjadala TBC1 leo tarehe 20/6/2012 saa 1.45 asubuhi, kati ya Zito Kabwe na Lameck Mwigulu juu ya mpango wa maendeleo na bajeti ya serikali 2012/2013. Mwigulu aliishia kutoa mapovu...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mimi binafsi nasikitishwa sana na tabia ya wabunge wa CCM wanaposimama bungeni kujibu hoja za serikali badala ya kuijadili bajeti. Kila mmoja wao anapopewa nafasi ya kujadili bajeti anatumia robo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Sikiliza kupitia Arusha Mambo http://tunein.com/tuner/?StationId=158711&
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mkoa wetu umekosa wabunge wakutusemea na kututeteana badala yake wamekuwa watetezi wa chama na ndio maana tupo nyuma sana kimaendeleo.Sasa naacha kulalamika naanza rasmi kufanya siasa Namtumbo.
0 Reactions
0 Replies
977 Views
Jana mnyika katolewa nje ya bunge baada ya kusema rais kikwete ni dhaifu, je kwa mfano unaweza kumhukumu mwalimu mkuu kwa ubadhilifu pasipo kumhusisha na jina lake? Bila ya jina lake hicho cheo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
June 13, 2012 by zanzibaryetu Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, akihutubia katika uzinduzi wa kongamano la Muungano na mchakato wa mabadiliko ya katiba huko...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
‎@ WILLIAM'S EXPERIENCE: Kwako Mh. Mnyika, Taifa tunawalipa Chadema TZ. Sh. 150 Millioni kwa Mwezi, ili mtoe hoja nzito za kuikosoa Serikali ya CCM, wananchi tumekupa Ubunge ili utusaidie...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimekua nikifuatilia viongozi wengi wa CCM na hasa hasa mawaziri katika serikali yetu nikagundua kuwa wengi ni wanafiki na wamejaa porojo za kisiasa. Mathalani kauli mheshimiwa Magufuli . Mfano...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mh. Lusinde anatakiwa kujadili bajeti na sio kuaznza kupambana na chama fulani au mtu fulani badala ya bajeti . Nina hakika kabisa kuwa hayo anayoyatetea leo bungeni siyo aliyotumwa na wananchi wa...
0 Reactions
0 Replies
849 Views
Politics is the gentle art of getting votes from the poor and campaign funds from the rich, by promising to protect each from the other. .....Discus the statement above.....
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Waziri wa Fedha, Dk William Mgimwa akionyesha begi lililobeba hotuba ya bajeti ya serikali kwa mwaka wa fedha 2012/2013, wakati akielekea kuingia katika ukumbi wa Bunge, mjini Dodoma jana. Picha...
51 Reactions
169 Replies
18K Views
Back
Top Bottom