SMS aliyodai Waziri bungeni kuchochea mgomo wa walimu hii hapa... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

SMS aliyodai Waziri bungeni kuchochea mgomo wa walimu hii hapa...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by DT125, Jun 25, 2012.

 1. D

  DT125 JF-Expert Member

  #1
  Jun 25, 2012
  Joined: Oct 19, 2011
  Messages: 203
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  " HEBU TIZAMA TOFAUTI HII YA KUTISHA YA VIWANGO VYA MISHAHARA KWA WATUMISHI WA UMMMA WA TZ! ( AJIRA MPYA CHETI) MWL 244,400/= AFYA 472,000/= KILIMO/MIFUGO 959,400/= SHERIA 630,000/= DIPLOMA MWL 325,700/= AFYA 682,000/= KLM/MFG 1,133,600/= SHERIA 871,500/= DEGREE MWL 469,200/= AFYA 802,200/= KLM/MFG 1,354,000/= SHERIA 1,166,000/=

  JE UPO TAYARI KUVUMILIA KUNYANYASWA HIVO KTK UTUMISHI WA UMMAWA TAIFA MOJA LENYE SOKO LA BIDHAA LILILO NA MFUMUKO WA BEI WA KUTISHA?

  UNGANA NA CWT KUDAI NYONGEZA YA MSHAHARA 100%, TEACHING ALLOWANCE, HARDSHIP ALLOWANCE. WAPE SMS HII WALAU WALIMU 20 TU! MSHIKAMANO DAIMA".

  Inadaiwa kuwa mishahara hii ipo kwenye waraka mpya wa mabadiriko ya mishahara itakayoanza kutolewa mwaka mpya wa fedha ( kuanzia Julai mwaka huu). Ongezeko kubwa kwa mishahara ya Kilimo inadaiwa ni kutokana na masharti ya wafadhiri kwenye sekta hii. Walimu wanasadikishwa hili kuwa viongozi wao wa CWT wana waraka huo wa mishara mipya.
   
 2. mangikule

  mangikule JF-Expert Member

  #2
  Jun 25, 2012
  Joined: Jun 11, 2012
  Messages: 3,176
  Likes Received: 1,257
  Trophy Points: 280
  Plain discrimination and against all Human rights requirements!! Waalimu gomeni. Nobody has the right to marginalise some groups of society!! Ualimu siyo muhimu!! This is the message from the policy makers ***!! Tutapigwa Ban hapa!!
   
 3. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #3
  Jun 25, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,448
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  hiyo sms ni batili siyo ya ukweli mi ni afisa kilimo kwa ngazi ya cheti nalipwa 221440
   
 4. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #4
  Jun 25, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 549
  Trophy Points: 280
  Hii message inaonekana kila ikitumwa zinaenda mbili. ni ndefu sana, Kuna mtu mwingine ameipata ili tujiridhishe kwamba ndiyo message husika?
   
 5. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #5
  Jun 25, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  mbona kuna ukweli tupu
   
 6. CHIHAYA

  CHIHAYA Senior Member

  #6
  Jun 25, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 103
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Inaukwei fulani isipokuwa kwenye hao watu wa idara ya kilimo/mifugo ndo panamakosa ila sehemu zingine ni kweli tupu.
   
 7. spencer

  spencer JF-Expert Member

  #7
  Jun 25, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 2,792
  Likes Received: 1,337
  Trophy Points: 280
  Mbona hamjasema mbunge darasa la Saba analipwa bei gani???
  Hapo watu naona watazimia aiseee!!!
   
 8. f

  fikirikwanza JF-Expert Member

  #8
  Jun 25, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 5,935
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Ukisema ukweli kuna nongwa gani? SMS hiyo imesema ukweli uliopo, sasa inachochea vipi mgomo??? ina maana mtz akijua ukweli lazima mgomo utokee?? basi namna tunavyoishi ni balaaaaaaaaaaa, yaani Mtz akijua ukweli tu, nchi ipo matatani??? aibu
   
 9. D

  DT125 JF-Expert Member

  #9
  Jun 25, 2012
  Joined: Oct 19, 2011
  Messages: 203
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Kama utakuwa umenielewa inadaiwa utaanza kulipwa kiwango tajwa hapo juu kuanzia mshahara mpya wa Julai mwaka huu, kama chanzo cha sms wanavyodai.
   
 10. masatujr1985

  masatujr1985 JF-Expert Member

  #10
  Jun 25, 2012
  Joined: Oct 27, 2011
  Messages: 1,933
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Uko sahihi, unalipwa hyivyo. Lakini, meseji inasema utalipwa hivyo kuanzia mwaka mpya wa fedha.
  Tuwe wakweli na tuwapende wenzetu kama vitabu vya dini vinavyosema. Huwezi kuwa na mshahara wa 1,000,000/= alhali mwenzio mwenye sifa tena hata zinakuzidi anakula 465,900/= kisa ni Mwalimu!!! Hii akili ama matope? nami ningekua huko ningeongoza mgomo zaidi ya MKOBA (Mwana-ccm) wa CWT anayefaidi contributions za wanachama ambazo hazina tija kwao.
  ULALIMU SI DHAMBI BALI NI KAZI KAMA ZINGINE. Hizi hoja za wachumi na watawala eti walimu hawana direct impact kwenye uchumi (product yao ni watu na siyo fedha ya direct katika pato la taifa) ndiyo inayofanya waonewe. Mie nadhani ikifika hatua wakaamua, basi hata mwanafunzi akija ofisini atoe consultation fee kama kwa Daktari ili basi mkione cha mtema kuni.
  Kazi inageuzwa kuwa ya watumwa ambao wanaamuliwa tu mambo yao na kunyonywa bila hata kuwa na sauti!!! Tena cha ajabu zaidi wengi walio katika kupanga viwango hivi ni watoto wa walimu....
   
 11. M

  MTK JF-Expert Member

  #11
  Jun 25, 2012
  Joined: Apr 19, 2012
  Messages: 6,960
  Likes Received: 2,837
  Trophy Points: 280
  Msiwachagize walimu kugoma, mwenye njaa haambiwi chakula hiki hapa kula, hali ngumu ya maisha itakapowabana barabara wenyewe wataingia mitaani bila kushawishiwa! mkanda haujabana sawa sawa. hawa madakitari wetu hakuna aliyewahimiza kudai haki zao, kule kenya walimu 240,000 waliposema sasa basi Moi na KANU yake leo hii wako jangwani wanakula vumbi. KANU yao ya Uhuru ina wabunge 14 tu bungeni mpaka hata mtoto wa muasisi wa taifa hilo jirani hayati Mzee Jomo Kenyatta; Uhuru Kenyatta ameamua kubwaga manyanga akakiacha chama cha baba yake. wataamka pole pole vinginevyo waache ile kwao.
   
 12. MANGUNGO

  MANGUNGO JF-Expert Member

  #12
  Jun 25, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 1,538
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  come down men,walimu walisha strike indirect,na matokeo yake yameonekana lakini hii serekali ya ma-dhaifu imeshindwa kung'amua kinaendelea kwa walimu.
   
 13. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #13
  Jun 25, 2012
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,660
  Likes Received: 21,879
  Trophy Points: 280
  Walimu wamekuwa wakitumika sana na CCM katika ule MRADI wa uchakachuaji kura wakati wa uchaguzi kwani wengi ndio wanaotumika kama wasimamizi wa vituo vya kupigia kura. Pia vijijini nako kwa vile uelewa ni mdogo wanategemewa waalimu kuwa ndio wawaelimishe wanavijiji kuhusu elimu ya uraia ila wao wamekubali kutumika kumwaga sumu dhidi ya upinzani na kuibeba CCM. Sasa nadhani wataelewa nini madhara yake.
   
 14. J

  Jobo JF-Expert Member

  #14
  Jun 25, 2012
  Joined: May 15, 2008
  Messages: 588
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Hiyo SMS ni ya kichochezi. Sheria wanaolipwa 630,000 ni wenye shahada.
   
 15. K

  Kwitu Kumpepo Member

  #15
  Jun 25, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 69
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nina mashaka na chanzo cha takwimu hizi maana si za kweli. Hii inaweza ikawa biashara kwa kampuni za mitandao ya cm za mkononi, maana sms hii ni ndefu (2 in 1) inayogharimu si chini ya Tshs 110/=. Walimu na nyie punguzeni kukopa, maana hata kama mkipewa Mil. 2,000,000/ au zaidi, hazitawatosha kwa jinsi mnavyotisha kwa kukopa.
   
 16. samstevie

  samstevie JF-Expert Member

  #16
  Jun 25, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 202
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa hiyo ni mshahara wa dhambi ndiyo unaowatafuna ama vipi?
   
 17. p

  petrol JF-Expert Member

  #17
  Jun 25, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 322
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 45

  wakati umefika wa kuwa wawazi. serikali isaidie kuweka wazi viwango vya kuanzia vya mishahara. sababu ni moja tu. Vijana wetu walioko shuleni kuweka nguvu kwenye masomo yanayolipa vizuri. Hii ni hoja ya kusaidia vijana kuhamasika kusoma masomo yatakayolipa zaidi siku za usoni.
   
 18. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #18
  Jun 25, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  kuandika viwango ni kazi nyepesi lakini kuthibitisha ni kazi ngumu ajabu..... thibitisha.

  kusema ni kazi rahisi kutawala ni kazi ngumu.
   
 19. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #19
  Jun 25, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  SMS imeshikwa uongo
   
 20. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #20
  Jun 25, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  uongo wa pili wa SMS.... tuendelee tutakuta wote sio ukweli
   
Loading...