CCM ina-justify sera yake mpya ya Kibepari kwa kutumia Mwenge wa Uhuru

Intellect

Member
Apr 1, 2011
34
20
Ni dhahiri kuwa falsafa ya mwalimu kuhusu mwenge yali base katika sera ya ujamaa na kujitegemea! Sasa hivi CCM wametuingiza katika sera za kibepari kimya kimya na wanatumia umbrella ya falsafa ya mwalimu ku justify matendo yao ya kifisadi!

Kipindi cha mwalimu mwenge haukuendeshwa kwa gharama ya mlipa kodi bali ulitumika kuleta chachu ya maendeleo katika taifa! Hivyo basi kwa kuwa CCM wameachana na sera za Ujamaa na kujitegemea pia hawana hawana haki ya kuendelea kuwahadaa watanzania kupitia mwenge wa uhuru! Kama azimio la arusha limekufa sasa mwenge wa kazi gani?
 
Back
Top Bottom