Breaking story,mbunge wa lindi awafichua wezi katika halmashauri | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Breaking story,mbunge wa lindi awafichua wezi katika halmashauri

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Andrew Nyerere, Jun 26, 2012.

 1. Andrew Nyerere

  Andrew Nyerere Verified User

  #1
  Jun 26, 2012
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 3,025
  Likes Received: 1,203
  Trophy Points: 280
  Yule mbunge,sijui anaitwa nani,the gentlewoman from Lindi, amewataja baadhi ya watu ambao wameisumbua Lindi. Huyu ni mbunge wa miaka sita,lakini mimi nilikuwa simfahamu. Lakini kesho nadhani kila mtu atamfahamu.
   
 2. Zemu

  Zemu JF-Expert Member

  #2
  Jun 26, 2012
  Joined: Jun 5, 2008
  Messages: 517
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Incomplete thread, tusio kwa TV hatujafikiwa na ujumbe kikamilifu,REPHRASE.
   
Loading...