Sijui nihame nchi!!?

Expedito Mduda

JF-Expert Member
Sep 22, 2009
522
240
Tanzania sasa ni moto. Maisha yamekuwa magumu sana. Madaktari wanagoma, walimu nao wapo njiani. Kila kona watu wanalalama maisha magumu.
Sijui la kufanya. Viongozi wengi wamekaa kidili dili tu. Wamewasahau kabisa wananchi wao. Jamani Tanzania ya enzi za mwalimu iko wapi? Ee Mungu waite kwako mafisadi wote kabla nchi yetu haijaangamia!!
 
Wewe umefanya nini hadi sasa kuepusha hayo???
 
Uhame halafu uende nchi gani? Maana kila nchi ina matatizo yake.
Au wewe ndo wale wanaosema heri kuzaliwa paka Ulaya?...
 
Tanzania sasa ni moto. Maisha yamekuwa magumu sana. Madaktari wanagoma, walimu nao wapo njiani. Kila kona watu wanalalama maisha magumu.
Sijui la kufanya. Viongozi wengi wamekaa kidili dili tu. Wamewasahau kabisa wananchi wao. Jamani Tanzania ya enzi za mwalimu iko wapi? Ee Mungu waite kwako mafisadi wote kabla nchi yetu haijaangamia!!
kosa ulifanya uliruhusu jamii yako kuchagua gamba wacha wakugambue
 
Mafisadi sita wametunza bilioni 302 nchini Uswisi wakati wewe unakufa njaa! Halafu hakuna hatua yoyote watakaochukuliwa hata wakifahamika. Tz ni zaidi ya unavyoifahamu.
 
Tanzania sasa ni moto. Maisha yamekuwa magumu sana. Madaktari wanagoma, walimu nao wapo njiani. Kila kona watu wanalalama maisha magumu.
Sijui la kufanya. Viongozi wengi wamekaa kidili dili tu. Wamewasahau kabisa wananchi wao. Jamani Tanzania ya enzi za mwalimu iko wapi? Ee Mungu waite kwako mafisadi wote kabla nchi yetu haijaangamia!!

Tafuta SMG uwe jambazi ,ila waibie vigogo na mafisadi tu ili ubarikiwe !!:spy:
 
Back
Top Bottom