Udhaifu wa jk - naomba mwongozo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Udhaifu wa jk - naomba mwongozo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mwananchit, Jun 26, 2012.

 1. m

  mwananchit Senior Member

  #1
  Jun 26, 2012
  Joined: Oct 13, 2008
  Messages: 144
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Hivi inawezekana UDHAIFU wa JK ndio umesababisha wezi wa EPA kusamehewa, kutokamatwa kwa wauza unga na wakwepa kodi japokuwa majina JK alisema anayo, kutoshitakiwa kwa mmiliki wa kagoda, kudai kwamba mafisadi wakikamatwa nchi italipuka na haitatawalika, na ndege ya jeshi ya Qutar kuingia nchini kama vile ni chooni na kujiondokea na wanyama wetu, kugawa madini yetu na ardhi yetu kama njugu, na mdororo wa uchumi wa nchi yetu unaosababisha hali ngumu ya maisha na migomo kila kukicha? Naomba mwongozo.
   
 2. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #2
  Jun 26, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Ukipata mwngozo utafanyaje...
   
 3. Dangire

  Dangire JF-Expert Member

  #3
  Jun 26, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 209
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  ni swali rahisi mno.ni kama 1+1 = 2. jibu ni ndiyo. hayo na mengineyo mengi ndyo yanayomdhihirisha rais wetu kuwa ni dhaifuuuuuuuuuuuuu.
   
 4. mgt software

  mgt software JF-Expert Member

  #4
  Jun 26, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 10,717
  Likes Received: 1,627
  Trophy Points: 280
  mwongozo subiri 2015
   
Loading...