Kusini wajitenge: wazo langu binafsi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kusini wajitenge: wazo langu binafsi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by John W. Mlacha, Jun 26, 2012.

 1. J

  John W. Mlacha Verified User

  #1
  Jun 26, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 540
  Trophy Points: 280
  Kuna mbunge kasema kuwa eti wachaga ndio wameleta umaskini huko kwao kusini.. Sina uhakika kama kafuta kauli yake ama la.. Ila mimi namshauri aanzishe movement ili wajitenge na kaskazini kwa sababu kaskazini inawanyonya na kama hana experience anaweza kuwasiliana na Uamsho watampa techniques. Asanteni.
  Mod nawaomba msiondoshe hili bandiko halijakaa kiudini ni katika kumjibu mbunge anayewakilisha wananchi na kutunga sheria huko bungeni
   
 2. J

  John W. Mlacha Verified User

  #2
  Jun 26, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 540
  Trophy Points: 280
  mimi kwetu ni tanga sina nia ya kuleta ukabila wala ukanda
   
 3. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #3
  Jun 26, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Kwa mbaaaaaaaaaaaaaaaaaaali naisikia Sauti ya Mwl Nyerere ikiyatamka maneno haya "DHAMBI YA UBAGUZI ITAWATAFUNA "
   
 4. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #4
  Jun 26, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Mtazamo wa informal education
   
Loading...