Salaam,kwa viongozi wa CHADEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Salaam,kwa viongozi wa CHADEMA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by TUNTEMEKE, Jun 26, 2012.

 1. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #1
  Jun 26, 2012
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Duniani tunapita,usitumie fursa ya kuishi uliyopewa na mungu kuwaumiza wengine.Hebu jiulize itakuwaje wakikutana huko mbinguni komredi chacha wangwe na regia mtema wakikumbushana habari za chadema ya wangwe na mbowe ambayo regia alishiriki kikamilifu katika vita dhidi ya wangwe?
   
 2. M

  Molemo JF-Expert Member

  #2
  Jun 26, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Tuntemeke tafuta kazi nyingine ya kyfanya hata kuuza nyanya.Nakuapia vita na CDM huiwezi asilani.Wameshindwa wenye dola sembuse wewe kifaranga?
   
 3. Kiganyi

  Kiganyi JF-Expert Member

  #3
  Jun 26, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 1,244
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
 4. Bishop Hiluka

  Bishop Hiluka Verified User

  #4
  Jun 26, 2012
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 4,101
  Likes Received: 1,425
  Trophy Points: 280
  Mh, napita tu...
   
 5. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #5
  Jun 26, 2012
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  molemo-malipo ni hapa hapa duniani si unakumbuka ulichokuwa unamfanyia kafulila pale makao makuu chadema kipindi kafulila alipokuwa wanachadema na zalau uliokuwa unaionyesha lakini vp leo?yeye na mbunge wewe bado unatanga tanga tumekuolea mpaka mke sasa inabidi tukujengee na nyumba!malipo na duniani hapahapa molemo.
   
 6. manuu

  manuu JF-Expert Member

  #6
  Jun 26, 2012
  Joined: Apr 23, 2009
  Messages: 4,063
  Likes Received: 9,673
  Trophy Points: 280
  Una uhakika gani kama kuna maisha baada ya kifo?
   
 7. Nambe

  Nambe JF-Expert Member

  #7
  Jun 26, 2012
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 1,455
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  usihiukumu, usije nawe ukahukumiwa, mwenye jukumu la kuhukumu ni mungu peke yake, na hao waliotangua hebu waache wapumzike kwa aman, yanayojir huko, kama yapo watayajua wenyewe, ya kaisar mwachie kaisari
   
 8. D

  Davie Member

  #8
  Jun 26, 2012
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 89
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Join Date : 16th June 2012
  Posts : 35
  Rep Power : 309
  Likes Received1
  Likes Given0
  Usiwe unakuja kujaza tu Threads tu huku JF...mana watu tunafikiri umeandika kitu cha msingi kumbe upuuzi tu,..na unatupotezea muda..
   
 9. m

  mamajack JF-Expert Member

  #9
  Jun 26, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 1,162
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  hapo patamu hebu fikir
  1.nyerere vs sokoine
  2.aninachifupa vs nchimbu
  3.mkapa vs nyerere
  patakuwa hapatoshi,
   
 10. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #10
  Jun 26, 2012
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  unataka nisifie unafiki wa viongozi wa chadema ndio uone nimeandika vitu vya msingi?acha ushabiki wa kijinga wewe na upuuzi wako wa kusifia kila kitu huko wenzako wakikuchora kama **** flani!mi nilisha jitambua toka zamani na naijua chadema toka hotel waliokuwa wanatumia kufanyia vikao vya uanzishaji wa chadema so acha ushabiki wa kipuuzi?
   
 11. F

  Froida JF-Expert Member

  #11
  Jun 26, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,903
  Likes Received: 1,330
  Trophy Points: 280
  Nadhani umechelewa sana hii melody ya nyimbo unazozileta humu haziuziki tena,fanya utafiti kidogo nchi nzima,sisi tunaozunguka vijijini tunajua,kazi kubwa kubomoa magnitude ya chadema kweli,kweli ,sympathisers wa chadema ni wengi mno nchi hii na hawana affliation yeyote ya chama kama vile kuwa wanachama au viongozi katika chama hicho,ila wamejijengea imani na chama hicho na unajua maana ya mtu akijijengea imani yake ni kwa kiasi gani na nguvu za kiwango kipi unaweza tumia kuivunja ,nadhani unajisumbua bure
   
 12. M

  Molemo JF-Expert Member

  #12
  Jun 26, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Tuntemeke hivi wewe una kitega uchumi walau chochote? Kazi kwako
   
 13. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #13
  Jun 26, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Mambo yameiva tena.
   
 14. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #14
  Jun 26, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 868
  Trophy Points: 280
  dola gani imewashindwa mkuu?
   
 15. Nyetk

  Nyetk JF-Expert Member

  #15
  Jun 26, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 1,624
  Likes Received: 819
  Trophy Points: 280
  Ndo maana huwa hukawii kulimwa ban! Sasa nakwambiaje? We kasirika, toa mapovu hata uh*r* CDM mwendo mdundo tu!
   
 16. RUBERTS

  RUBERTS Senior Member

  #16
  Jun 26, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 136
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0


  Uzi wa kipuuzi kabisa.
   
 17. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #17
  Jun 26, 2012
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,483
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  Nimeamini malipo ni hapa duniani, Regia kumbe naye alihusika kwenye kumuadabisha kamanda Wangwe na Mungu naye kamuadabisha kwa mtindo ule ule.
   
 18. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #18
  Jun 26, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  M4C forever na wanafiki kama ww TUNTEMENKE mtaishia hvyo hvyo.
   
 19. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #19
  Jun 26, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,903
  Likes Received: 5,365
  Trophy Points: 280
  takataka kama hizi ziwe zinatupwa jalalani..jf inanuka siku hizi sababu ya takataka kama hizi zisizo na ushahidi kuachwa.
   
 20. The secretary

  The secretary JF-Expert Member

  #20
  Jun 26, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 4,161
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Jamani chitchat tumevamiwa kwani jukwaa lenu hamlijuhi muwe mnagonga hodi kwanza aha! we gongounalewaglass beba watu wako mrudi mlikotoka kabla hatujawahita kuwa ni magaidi
   
Loading...