Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Akili Ndogo Kuongoza AKILI Kubwa, 2005/2006 Budget ilikuwa 4 Trilion, Afya 300 Bilion, 2012/2013 15 Trilion Afya 1.2 Trilon. Kwa Hesabu zangu za kanumba ni Pungufu ya More than 0.5%. Alafu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
wandugu mimi naomba kuuliza,mbona naona asilimia kubwa ya mawaziri na manaibu wazili waliopigwa chini hivi majuzi mbona wanakaa situ za nyuma kabisa?,au ndio mpalio,au wanaona soni?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa vigezo vyovyote vile, hali ni tete sana hapa nchini mwetu.Mifarakano ya kila aina inayoikabili nchi yetu inatishia kumega taifa ili katika vipande vipande. Kuna mgawanyiko kwa msingi wa kipato...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nipo hapa Ludewa Kijiji Cha Mlangali, watu wanafuatilia Bunge katika kilabu cha pombe watu ni wengi wanatoa maoni yao kuwa sasa CCM inabanwa sana Bungeni Mpaka mwenyekiti anatoa matusi ambayo...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Jana Bunge liliboa sana hasa huyu mheshimiwa kuonesha upendeleo wa waziwazi! mh Manyanya kaizungumzia hoja ambayo iko mahakamani ingekua ni upande mwingine ungesikia hoja iko mahakamani! ila sisi...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Kwa jinsi wanavyoonekana,pamoja na kufanyika madhila mengi,watanzaniania wasionwe mabwege. Kwani ilisemwa kuwa... Kimya kina mshindo mkuu, ndivyo wambavyo wavyele; Kimya chataka kumbuu, viunoni...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Serikali ina mpango wa kuagiza madaktari kutoka Iran kuja kuziba pengo lililotokana na Madaktari waliogoma. Nina maswali machache naomba Wanajamvi mnisaidie: 1. Kuna mikakati gani ya kuhakiki...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mwasisi wa Chadema, M/kiti wa Chadema Taifa, na Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni heshima yako. Leo naomba nikusumbue kidogo kuhusu salamu mpya ya kitaifa. Hoja yangu; Nchi yetu haina...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Tue, Jul 3rd, 2012 Headlines / Tanzania | The Minister for Foreign Affairs and International Cooperation, Mr Bernard Membe, has pledged the government's full commitments to facilitate the work...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuna mambo kadhaa ambayo ningependa kuyatolea maoni kwa namna tofauti kwani tangu siku ile ya Jumatano usiku sijapata muda wa kutulia kuweza kuweka mawazo yangu juu ya yanayotokea. Baada ya kusoma...
20 Reactions
52 Replies
5K Views
Kama wasaidizi wa rais wamechoka kiasi cha kuongea mambo yasiyoendana na sifa na vyeo vyao ni janga kubwa kwa taifa hili la ulumwengu wa tatu.msaidizi wa rais mathalani stella manyanya-rc -rukwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nauliza kwanini au kuna nini nyuma ya ripoti hiyo?A
1 Reactions
18 Replies
2K Views
ni mara kadhaa tumeshuhudia mgomo wa madaktari au kwa ujumla katika sekta ya afya na lengo la mgomo wao ni maslahi madogo lakini hakuna siku hata moja tumeshasikia kwa wabungu wanalalanika au...
2 Reactions
37 Replies
4K Views
Monday, 02 July 2012 20:32 Talib Ussi na Masoud Sanani, Zanzibar MCHAKATO wa kukukusanya maoni ya Katiba mpya nchini umeanza huku wananchi wakiwa na mawazo tofauti, na baadhi yao...
0 Reactions
0 Replies
986 Views
Leo mh mbunge yahya khasim wa jimbo lachwaka zanzibar, Bungeni kasema kuwa hakuna mzanzibar yoyote ambae hautaki muungano. Wanaoupinga muungano ni wale ambao siyo wazawa wa Zanzibar bali ni...
0 Reactions
67 Replies
6K Views
Nimejaribu kukaa kimya lakini nafsi yangu inanisuta. Siwezi kuendelea kukaa kimya. My opinion is unpopular, lakini nitasema. Nitagusa hoja moja baada ya nyingine kama zilivyotolewa na "jumuiya...
12 Reactions
313 Replies
25K Views
Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC) Ubungo Kibangu, Anthony Lusekelo alisema madaktari hao wanatakiwa kurudi kazini kwa kuwa tayari Serikali imeshasema kuwa haina fedha za kuwalipa na kuongeza...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana JF mgomo wa Madaktari unaorindima na matokea ya udhaifu wa Watanzania walio wengi. Hii ni kutokana na sababu zifutatazo: Serikali ilioyopo kwa sasa ni dhaifu mno, baadhi ya watendaji wake...
0 Reactions
2 Replies
880 Views
Mida hii ndo ameingia hapa Amahoro Stadium na mama Mama salma.
0 Reactions
102 Replies
8K Views
TAARIFA KWA UMMA KAULI JUU YA MELI ZA IRAN KUTUHUMIWA KUTUMIA BENDERA ZA TANZANIA KWA takribani muda wa juma moja sasa kumekuwepo na taarifa katika vyombo vya habari na njia mbalimbali za...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…