Mbunge: Heri tufe kuliko Muungano kuvunjika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbunge: Heri tufe kuliko Muungano kuvunjika

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Tukundane, Jun 28, 2012.

 1. Tukundane

  Tukundane JF-Expert Member

  #1
  Jun 28, 2012
  Joined: Apr 17, 2012
  Messages: 8,314
  Likes Received: 2,677
  Trophy Points: 280
  Leo mh mbunge yahya khasim wa jimbo lachwaka zanzibar, Bungeni kasema kuwa hakuna mzanzibar yoyote ambae hautaki muungano.

  Wanaoupinga muungano ni wale ambao siyo wazawa wa Zanzibar bali ni wale walio hamia Dubai tangu mwaka 1964 ndio wanaoupinga muungano.

  Si ajabu ukakuta hata wale wanaojifanya kuwa hawautaki muungano huenda tayari wameshavuta kitu kidogo ndio maana wanalalama kila siku kuwa hatuutaki muungano; kumbee.....?
   
 2. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #2
  Jun 28, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,918
  Likes Received: 2,348
  Trophy Points: 280
  Mbona hilo liko wazi mkuu.
  Uamsho ni chimbuko la waarabu walioko ndani ua CUF.
   
 3. c

  chilubi JF-Expert Member

  #3
  Jun 28, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 3,038
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  Basi angewafanyia sensa tukajua wazawa wapo wangapi! Na hao wanaoandamana ni watu wa ngapi!
   
 4. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #4
  Jun 28, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Mambo ya HIZBU hayo...

  Ila alichokosea huyo mbunge ni kusema sio wazanzibari, hao ni wazanzibari lakini sio wa Unguja ni wa Pemba
   
 5. Isalia

  Isalia JF-Expert Member

  #5
  Jun 28, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 950
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  Itakuwa yeye sio mzanzibar anae tumiwa na hao wadanganyika au milioni 12 za kila mwisho wa mwezi zimemhadaa kiukweli asilimia kubwa ya z'bar hawautaki muungano ajaribu kupita mitaa ya z'bar afanye utafiti sio aropokwe kwa kitu anachokijuwa
   
 6. Sibonike

  Sibonike JF-Expert Member

  #6
  Jun 28, 2012
  Joined: Dec 23, 2010
  Messages: 10,286
  Likes Received: 4,975
  Trophy Points: 280
  Hakuna anayekataa kuuboresha muungano hata kwa kufanya hivyo ni kuwa serikali tatu. Ni kweli wanaotaka kuvunja muungano miaka mingi walikuwa nje ya nchi na sasa wamerudi akiwemo mwandishi wao mmoja maarufu sana. Angalia nakala zake anavyomkashifu Nyerere. Lakini wakati Mwl akiwepo walishindwa hoja wakajichimbia kula makombo ulaya!
   
 7. Wachovu

  Wachovu JF-Expert Member

  #7
  Jun 28, 2012
  Joined: Jun 25, 2012
  Messages: 1,197
  Likes Received: 388
  Trophy Points: 180
  Msituletee brah brah mimi sio mzanzibar ni mtanganyika , faida ya muungano ni nini , msituletee siasa uchwara hapa tupe faida zake
   
 8. a

  abdy76 Member

  #8
  Jun 28, 2012
  Joined: May 29, 2012
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  kama wanaopinga muungano ni waarabu basi na yye anaetaka muungano ni mtanganyika, na mamluki kama hawa wako wengi wanaouza utu wao kwa vijisent, but this time wamefeli akitaka ushahidi aiambie serikali ya magamba wafanye kura ya maoni znz ndio atajua kama waarabu au watnganyika na tunahakkisha mara hii ndio mwisho wa muungano huu wakizembe, watu wazima (hawadanganywi kila siku) mark my word broooos wadanganyika :israel:
   
 9. a

  abdy76 Member

  #9
  Jun 28, 2012
  Joined: May 29, 2012
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hayo ni mawazo ya kenge magamba, but waznz haturudishwi nyuma na kauli za mamluki watanganyika kama hawa, kumbuka znz ipo kabla ya huu upuuzi muungano na itaendelea kuwepo, tumeamua waznz kudai haki yetu na muda umefika mtatoa tu hata kwa lazima :baby:
   
 10. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #10
  Jun 28, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Nimemsikia yule mzee anasema wasioutaka muungano wapo UINGEREZA NA WALIKIMBILIA HUKO SINCE 1964
   
 11. Mkwaruzo

  Mkwaruzo JF-Expert Member

  #11
  Jun 28, 2012
  Joined: Feb 21, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Katika mchele hata chuwa zipo. Imekuwa ni kawaida kwa waliowengi hasa viongozi wa Tanzania Bara na baadhi ya wananchi kutumia mapungufu ya kauli za Wazanzibari au kuwatumia baadhi ya viongozi wa Zanzibar ambao ni mamluki wa Watanganyika katika kupotosha kile Wazanzibari tunachokitaka. By the way, mwache aendelee kuongea pumba zake akiwa huko huko kunakomfanya akose uzalendo kwa vijipesa anavyolipwa ila huku tutaendelea na msimamo wetu.
   
 12. Tukundane

  Tukundane JF-Expert Member

  #12
  Jun 28, 2012
  Joined: Apr 17, 2012
  Messages: 8,314
  Likes Received: 2,677
  Trophy Points: 280
  Haya mbunge wenu aliechaguliwa na wazanzibar ameamuwa kusema ukweli kama usemi usemao kuwa msema kweli ni mpenzi wa mungu anaitwa kenge magamba,mdanganyika.hata kabula ya hilo kupoa rais wa zanzibar mh shein katika taarifa ya itv kasema kuwa muungano upo na utaendelea kuwepo na wanaotaka kuuvunja wanajidanganya wenyewe.sasa na huyu mtamuita nani?.vinginevyo mtajikuta mnawakana wenzenu wote hata mnaoupinga muungano kuna hatari kipindi kikafika mkaanza kujikana wenyewe.yetu macho na tanganyika yetu iliomezwa na zenji.
   
 13. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #13
  Jun 28, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,841
  Trophy Points: 280
  hawa dawa yao ubwabwa tu hutasikia tena kelele za muungano........
   
 14. RedDevil

  RedDevil JF-Expert Member

  #14
  Jun 28, 2012
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 2,287
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Hahahahha!! mi Zenj hata siwaelewi, huyo mbunge naye kavuta mpunga kutoka serikalini!
   
 15. Macos

  Macos JF-Expert Member

  #15
  Jun 28, 2012
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 1,831
  Likes Received: 1,004
  Trophy Points: 280
  Mjomba umeula huu...huyu mbunge wa ccm hajui asemacho....anajipendekeza kwa magamba wa dodoma
  wenzake ccm zanzibar nao wanapinga Muungaano wazi wazi
  • Mansour Himid amesema wazi muungano huu haufai..na amesifu kibwagizo cha Uamsho tuachie tupumuwe..unamjua mansour ? ni waziri ndani ya serikali hii, na mweka hazina wa ccm zanzibar..babake ni Bringadia Yusuf Himid Mkuu wa majeshi wa mwanzo baada ya Mapinduzi
  • mohamed raza...mwakilishi wa ccm , anasema muungano haufai
  • asha bakari , mwakilishi wa ccm anasema muungano huu feki
  • Hassan Nassor Moyo....memba wa baraza la mapinduzi kuanzia 1964-1984, waziri wa karume na aboud jumbe marais wa zanziabr, mbunge wa kuchagulia wa ccm kwa zaidi ya miaka 20. amesema kuwa muungano huu kwa sasa vijana wa kizanzibari hawawezi kuukubali., na pia amesema karume alikua hataki muungano siku za mwisho wa uhai wake,,,huyu mtu wa ndani kabisa wa ccm na Mpinduzi
  • Aboud Jumbe mwinyi..alipinga Muungano , alitayarisha mpaka rasimu ya kutaka ubadilishwe ili zanzibar IPUMUE...akwekwa kifungo cha ndani na Nyrere.
  • Karume mwenyewe alisema muungano ni kama koti likikubana unalivua...kabla hajalivuwa akavuliwa yeye 1972!!
  • Salim Hemed ...katibu mkuu wa mwanzo wa baraza la mapinduzi...yupe hai amesema muungano haufai na haukuwa halali
  • marehemu Dourado....mwana sheria wa zanzibar wa mwa mwanzo....nae alisema muungano haufai..na yeye ndie alishirikiana na Jumbe kuandaa rasimu ya kupinga Muungano
  • wapo wengine walikua CCM wakafukuzwa na sasa ni ama CUF au vyama vingine
  • seif sharif alikuwa mwenyekiti wa ccm kamati ya uchumi, na mjumbe wa kamati kuu CC. nae alipinga mfumo huu wa muungano
  • yupo Hamad Rashid
  • yupo khamis machano .
  • orodha ni ndefu..ni wazenji original na hakuna wa kutoka dubai...in fact wengi wanao penda huu muungano ni wakuja kutoka bara na sio wa dubai..wa zanzibar walio hamia oman na kwengine baada ya mapinduzi in fact maisha yao yapo huko na ni raia wa huko na wana ishi kwa furaha....kwao mapinduzi upande mmoja imekuwa neema kwani maisha yao yapo juu
  • so wanao pinga ni wazawa..inawezekana wapo wazawa wana upenda pia lakini sio story za kikale
   
 16. Isalia

  Isalia JF-Expert Member

  #16
  Jun 28, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 950
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  kumbe unazungumzia wale wale walio wekwa kwa maslahi ya bara ila sasa hatudanganyiki na propaganda za kinyerere muungano wazanzibar hatuutaki siku zinakaribia kutoka kwenye koloni la tanganyika
   
 17. H

  Honolulu JF-Expert Member

  #17
  Jun 28, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 5,654
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Gesi iliyogunduliwa bara si ya polepole!! Ni funga kazi!! Na ndio maana sasa wanabadili msimamo. Wakiondoka imekula kwao. Viongozi wa uamsho sasa wanasema suala la gesi libaki kuwa la muungano!
   
 18. Mag3

  Mag3 JF-Expert Member

  #18
  Jun 28, 2012
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 9,094
  Likes Received: 6,188
  Trophy Points: 280
  Be careful what you wish for, you might get it! Some people get their wishes granted, but live to regret it, you know why? Because subconsciously they had hoped and prayed that their wishes would never see the light of day! But you can bet that, inwardly, the majority of those younguns supporting UAMUSHO are like fools wasting silly wishes by bargaining with the devil. What they dont know is that the devil likes nothing better than to give with one hand and take away with the other...reminds one of fairiesÂ’ gold turning to dry leaves in the morning light.
   
 19. Tukundane

  Tukundane JF-Expert Member

  #19
  Jun 28, 2012
  Joined: Apr 17, 2012
  Messages: 8,314
  Likes Received: 2,677
  Trophy Points: 280
  Umenifurahisha sana.nyerere alimrubuni karume akakubali muungano,mh sheini ameletwa kwa masilahi ya bara na ninyi mkampokea na mkamchaguwa kwa kumpigia kura unamaana kuwa wazenji hamna akili ya kujiongoza wenyewe mpaka muongozwe na wabara?.kumbe ni halali kusema kuwa zenji ni koloni la tanganyika ndio maana viongozi wenu hawataki muungano uvunjike kwa sababu wanaelewa kuwa bila tanganyika hakuna kinacho weza kufanyika znz.
   
 20. kichwat

  kichwat JF-Expert Member

  #20
  Jun 28, 2012
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 1,824
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Watanzania pande zote tuna haki ya kufanya KURA YA MAONI (REFERENDUM) kuamua suala hili. Hatutaki watu watusemee maoni yetu.
   
Loading...