Mpangilio wa viti kwa wabunge mjengoni

mwenyenguvu

Senior Member
Apr 3, 2012
168
51
wandugu mimi naomba kuuliza,mbona naona asilimia kubwa ya mawaziri na manaibu wazili waliopigwa chini hivi majuzi mbona wanakaa situ za nyuma kabisa?,au ndio mpalio,au wanaona soni?
 
Its common sense ukitolewa mbele lazima uletwe nyuma as katikati seat ziko na wenyewe!
 
Back
Top Bottom