JK kawasili hapa Rwanda, kwenye Sherehe za miaka 50 ya Rwanda

RUCCI

JF-Expert Member
Oct 6, 2011
1,701
1,714
Mida hii ndo ameingia hapa Amahoro Stadium na mama Mama salma.
 
Rais wa Tanzania Ndugu Jakaya Mrisho Kikwete yupo nchini Rwanda leo kuhudhuria sherehe za miaka hamsini ya uhuru wa nchi hiyo!

Kwamjibu wa mtandao wa twita wa serikali ya nchi hiyo wa RwandaGov unaoripoti live shuguli nzima ya sherehe hizo, umemuonyesha rais wa Tanzania akiwa na viongozi wengine katika meza kuu ndani ya uwanja wa Amahoro!

Mgomo upo, na utaendelea kuwapo, rais yupo na rais yupo na ataendelea kuwepo!

Mungu ibariki Tanzania, Mungu wabariki Madaktari, Mungu mponye Daktari Ulimboka!
 
Last edited by a moderator:
duh!!sisi tunasubiri hotuba kwenye tv kumbe anapanga nguo kwenye begi aende rwanda?si wamfukuze huku ma dr wamegoma.
 
Sherehe zetu za miaka 50 hakuna rais yoyote toka EAC aliyehudhuria, na hadi leo hakuna kiongozi ameeleza ilikuwaje? JK anafuata nini Rwanda?
 
Tunamuombea aendelee kutanua kabla hajaripoti The Hague mara baada tu ya 2015. Aombe Mungu Dr. Uli asidhurike, vinginevyo uvumilivu wa kusubiri 2015 waweza kushindikana.

images

The Hague
 
Sherehe zetu za miaka 50 hakuna rais yoyote toka EAC aliyehudhuria, na hadi leo hakuna kiongozi ameeleza ilikuwaje? JK anafuata nini Rwanda?

Ndo raisi pekee aliyeitikia mwaliko.
 
Sherehe zetu za miaka 50 hakuna rais yoyote toka EAC aliyehudhuria, na hadi leo hakuna kiongozi ameeleza ilikuwaje? JK anafuata nini Rwanda?

Dhaifu anakimbia udhaofu wake, matatizo mengi nchini bana!
 
ni vizuri kama atamkabidhi kagame nchi yetu aiongoze,yeye aendelee na utalii wake
 
hivi matatizo yote ya hii nchi Rais wetu anapata wapi muda wa kwenda Rwanda au hizo allowance zao za kusafiri ndio wanazikimbilia
 
Sherehe zetu za miaka 50 hakuna rais yoyote toka EAC aliyehudhuria, na hadi leo hakuna kiongozi ameeleza ilikuwaje? JK anafuata nini Rwanda?

hana la kufanya ikulu kwa nini asiende kutembea? akaone totoz za kinyaru...kagame ana mtoto wake bint mzuri mrefu mweupe kuliko bbake anasoma london

Nakumbuka Rais wangu Dr W Slaa alisema huyu Dhaifu ni Janga la taifa, sasa tunaona Madhara yake. Kweli Mr. Dhaifu ni Chaguo la Mashetani. Huyu shetani ni wakupiga risasi tu
 
wazazi wake walikosea kumwita jina la j.a.k.a.y.a ilitakiwa wamwite MSAFIRI
 
Sherehe zetu za miaka 50 hakuna rais yoyote toka EAC aliyehudhuria, na hadi leo hakuna kiongozi ameeleza ilikuwaje? JK anafuata nini Rwanda?
Niliona kweli JK anapenda safari kwenye mazishi ya Abertina Sisulu. Lesotho na Zimbabwe walituma waziri mkuu. JK ndo alokuwa rais mgeni peke yake. Unnecessary trips kama hizo zikipinguzwa tutashindwa kuboresha mahospitali?
 
hana la kufanya ikulu kwa nini asiende kutembea? akaone totoz za kinyaru...kagame ana mtoto wake bint mzuri mrefu mweupe kuliko bbake anasoma london

Hii kali,duuh!! Mtoto wake huyo anaitwa Angie wa ukweli balaa!!
 
Back
Top Bottom