Ukweli kuhusu bajeti ya afya kati ya 2005/2006 na 2012/2013 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukweli kuhusu bajeti ya afya kati ya 2005/2006 na 2012/2013

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kibanga Ampiga Mkoloni, Jul 3, 2012.

 1. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #1
  Jul 3, 2012
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,567
  Likes Received: 1,655
  Trophy Points: 280
  Akili Ndogo Kuongoza AKILI Kubwa,

  2005/2006 Budget ilikuwa 4 Trilion, Afya 300 Bilion, 2012/2013 15 Trilion Afya 1.2 Trilon. Kwa Hesabu zangu za kanumba ni Pungufu ya More than 0.5%.

  Alafu anakuja mkuu wa Nchi anatoa takwimu potofu, tena hapo na jopo na washahuri tele wametumika na wamekula KODI zetu kuleta UPUZIIIIIIII kama huu.

  Bado kiongozi wa chama anakuja kuunga mkono UONGO huu, badala ya kuja kuwaomba radhi wa-Tanzania anakuja kutukejeli.

  au ndio SILLY SEASON ?

  Source: The Tanzania National Website

  MY TAKE:
  Jamaa anashahuriwa na nani huko IKULU? au huwa hasomi haya mambo? Si nasikia na mchumi huyu? sasa inakuwaje hesabu kama hizi ndogo zinamshinda? au kuna uchumi bila hesabu sikuhizi?
   
 2. amkawewe

  amkawewe JF-Expert Member

  #2
  Jul 3, 2012
  Joined: Dec 9, 2011
  Messages: 2,029
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Duh simo
   
 3. Sabung'ori

  Sabung'ori JF-Expert Member

  #3
  Jul 3, 2012
  Joined: Jul 19, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 150
  Trophy Points: 160
  ...kama mchumi wa-first class Mwingula ndo Dhaifu anamtegemea hayo ndo matokeo yake..."serikali imewafukuza madaktari 72 na imewaita madaktari wastahafu watano kuziba pengo!!!!"...LIWALO NA LIWE
   
 4. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #4
  Jul 3, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  wajinga ndio tuliwao!!
   
Loading...