Mgomo wa walimu mkoba wa cwt umejiaandaa kutekw na kufa?

Welu

JF-Expert Member
Jul 5, 2011
852
301
Mwenzako akinyolewa na wewe tia maji. Wahenga hawakukosea. Mkoba wewe kiongozi wa mgomo wa walimu, uko tayari yakukute kama ya mpendwa wetu Ulimboka? Mgaya wa TUCTA upo? Mtakuwa tayari kutetea wenzenu?
 
Sijiui Yumo humu huyu bwana ili alijibu hili swali maana ni swali muhimu sana kwa watanzania
 
Viongozi wa mgomo wa walimu elezen mapema kama mko tayari kufa maana nawajua mu waoga sana. Ulimboka ni shujaa wa nchi hii. Mungu amsaidie apone haraka sana.
 
Kwa hii advertise ya Magamba kwa Ulimboka, Mukoba atakuwa anajiharishia saizi, walimu wasitarajie mgomo hapo.
 
Hapa ndiyo tutakapo waona viongozi wa kweli ambao wako tayari kufa kwa kusimamia ukweli....
 
Viongozi wa mgomo wa walimu elezen mapema kama mko tayari kufa maana nawajua mu waoga sana. Ulimboka ni shujaa wa nchi hii. Mungu amsaidie apone haraka sana.

Ni kwamba akisha tangaza mgomo anajichimbia handaki....
 
KWA STAILI YA DK. ULIMBOKA INAONESHA HAKUNA HAJA YA KUWA NA VYAMA VYA WALIMU,MADAKTARI,WAHANDISI,WANAHABARI,WANAHARAKATI,N.K NA KAMA VITAKUWAPO BASI VIWE MBALI NA SIASA
NJAA ZA PESA NDONGOx2 ZA MASHINIKIZO.KAMA SI HIVYO BASI HAVINA HAJA.
 
Back
Top Bottom