Jaji aliyemvua Lema ubunge apooza miguu

Mungu amnusuru apone haraka

nakumbuka wimbo wa Peace Mulu wa Kenye aliye imba " ombea adui yako aishi miaka mingi ili unapofaniwa ajionee mwenyewe"
 
Wana JF,

Kwa taarifa nilizozipata na kuzithibitisha ni kuwa yule Jaji Gabriel Rwakabarila aliyetoa hukumu ya Lema amepooza miguu.
Crashwise unataka kusema CDM wana nguvu za giza au ni maombi kwa Mungu? Nasema hivi kwa sababu kuna taarifa zilikuja hapa kwamba kuna watu walikuwa wakigawa sanda huko Nachingwea ili kupambana na M4C na baada ya muda eti wote wawili wakafa kwa kufuatana. Sasa na wewe leo unakuja na hili la kupooza! Duh mbona kazi ipo
 
Last edited by a moderator:
jamanii tujifunze kutenda mema hapa duniani namshukuru sana lema kwa kufunga siku zote akiomba Mungu atende haki lakini itabaki kuwa Mwacheni Mungu aitwe Mungu
 
Jaji gabriel rwakabarila huyu huyu nliekutana nae jana akiwa kwenye kutekeleza majukumu yake ya kikazi au kuna mwingne?acheni uzushi
 
Wale wabunge waliotoa hoja ya kumsimamisha ZITTO bungeni nini kiliwapata? Mfano MZIHILI. Chezea wanasiasa! Wanasali sana
 
Biblia inasema Mpende adui yako na umuombee.

Tunamwombe apone haraka ili apate muda wa kutubu dhambi zake kabla Mungu hajaondoa uhai wake.
NI MUNGU ALIYEWEZA KUSIKIA KILIO CHA WANA WA ISRAEL NA AKAMSIMAMISHA MUSA AWE KIONGOZI WAO KUWATOA KATIKA NCHI YA UTUMWA HUKO MISRI, NAAMINI NI MUNGU YULEYULE AMBAYE ALISIKIA KILIO CHA WANA-ARUSHA NA KUMCHAGUA LEMA AWE KIONGOZI WAO KUWAONDOA KATIKA UTUMWA WA CCM!

BADO NI MUNGU YULEYULE ANAYE ENDELEA KUWATETEA WANA ARUSHA. HUYU HAKIMU ATAKUWA KAMA FARAO NA HAKIKA MUNGU ATAMWONYESHA MAAJABU ILI AJUE KUWA DHAMBI YA KUDHULUMU UBUNGE WA LEMA NI KUDHULUMU HAKI ZA WATU WA ARUSHA!

Let him get a lesson!
 
Crashwise unataka kusema CDM wana nguvu za giza au ni maombi kwa Mungu? Nasema hivi kwa sababu kuna taarifa zilikuja hapa kwamba kuna watu walikuwa wakigawa sanda huko Nachingwea ili kupambana na M4C na baada ya muda eti wote wawili wakafa kwa kufuatana. Sasa na wewe leo unakuja na hili la kupooza! Duh mbona kazi ipo
Ati nini?
 
Back
Top Bottom