CCM Nambari wani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM Nambari wani

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mungi, Jun 26, 2012.

 1. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #1
  Jun 26, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  [​IMG]
  Hawa ni baadhi ya wabunge wetu wa ccm wanaotuwakilisha katika bunge la bajeti linaloendelea.
   
 2. Kibwebwe

  Kibwebwe JF-Expert Member

  #2
  Jun 26, 2012
  Joined: Jun 26, 2012
  Messages: 797
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Huo ndio udhaifu wenyewe akiamka hapo ni kugonga meza na kuunga mkono 300%
   
 3. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #3
  Jun 26, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Na ndiye aliyesema wao wapo wengi hawawezi kushindana na chadema wakiamua kurusha mangumi!
   
 4. F

  Froida JF-Expert Member

  #4
  Jun 26, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  amerudia tena basi anahitaji tiba huyo
   
 5. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #5
  Jun 26, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,896
  Likes Received: 5,357
  Trophy Points: 280
  usiku kucha lilikuwa busy linamb*k* lul*
   
 6. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #6
  Jun 26, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Na hapo alipo atakuwa ana muota Lulu, akishtuka tu anagonga meza ndiyooooooooo!!!!!!!!!
   
 7. makoye2009

  makoye2009 JF-Expert Member

  #7
  Jun 26, 2012
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 2,646
  Likes Received: 500
  Trophy Points: 280
  Hii picha ni Mhe. Captain John Komba ambaye kwenye Mchango wake wa BAJETI 2012/13 alikurupuka na kusema ati Wabunge wa UPINZANI WAKAPIMWE AKILI HOSPITAL YA MIREMBE NDIPO WAREJEE BUNGENI KWA VILE WALIKUWA WANAPINGA BAJETI NZURI YA SERIKALI YA CCM!!!

  Hapa huyu jamaa amelala fofofo sasa ni saa ngapi alisikia michango ya Wabunge wa upinzani na akawahukumu kuwa ni vichaa. Huyu Komba nafikiri anaumwa,huku kulalalala Bungeni si bure. Tunasikia sifa za Komba hata akapewa Ubunge ni KUKATA MAUNO KWENYE ILE BENDI YA JESHI-TAARABU. Huku ndo kwenye maeneo yake,huku Bungeni hakumfai!!!!
   
 8. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #8
  Jun 26, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Komba anathibitisha ule usemi wa Kichaa kuwaona watu werevu kuwa ndiyo vichaa. Komba siyo mwanasiasa, bali shabiki wa wanasiasa.
  Kati ya watu wanaolamba viatu vya vigogo, Komba ni nambari wani!
   
 9. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #9
  Jun 26, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Na huyu anaposinzia hata wakati wa kula huwa anamuota nani?
   

  Attached Files:

 10. Daniel Anderson

  Daniel Anderson JF-Expert Member

  #10
  Jun 26, 2012
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 879
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Anawaza mbali sana hapo, espeshale kuhusu toti yake inavyomfia. Ana mengi sana, tena ishu ya l***lu
   
 11. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #11
  Jun 26, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Wananchi wa jimbo lake wanatakiwa wamwone mheshimiwa mbunge wao mchumba wa Lulu jinsi anavyowawakilisha ipasavyo.
   
 12. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #12
  Jun 26, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Akiamka hapo anaunga mkono hoja kwa asilimia mia moja
   
 13. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #13
  Jun 26, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,693
  Likes Received: 12,742
  Trophy Points: 280
  Mwacheni alale kesi ile inampa mawazo sana.
   
 14. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #14
  Jun 26, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,196
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  Hebu rushieni na ile picha ya Mzee wa pori
   
 15. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #15
  Jun 26, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Kwani alishatajwa mkuu? hahaaaaaaaa!!!!!
   
 16. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #16
  Jun 26, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  unamaanisha hivi mkuu?
  [​IMG]

  [​IMG]
   
 17. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #17
  Jun 26, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,196
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  Kwi! Kwi! Hawa ndio viongozi tuliowatuma kutuwakilisha
   
 18. M

  Murrah Senior Member

  #18
  Jun 26, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 191
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  . Nambari one kulala,dhaifu, kuiba, kufisadi, na kuzini, kazi ZERO
   
 19. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #19
  Jun 26, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Tata, Mbuya warai?
  Jk dhaifu,
  Bunge wazembe,
  ccm wapuuzi!

  Silly Season!
   
 20. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #20
  Jun 26, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  wakikurupuka tu usingizini wote wanagonga meza ndiyoooooooo!!!!!!
   
Loading...