Hakuna chama bora kama CCM, na CHADEMA hamuwawezi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hakuna chama bora kama CCM, na CHADEMA hamuwawezi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by andrews, Jun 27, 2012.

 1. a

  andrews JF-Expert Member

  #1
  Jun 27, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,682
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
   
 2. H

  Honolulu JF-Expert Member

  #2
  Jun 27, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 5,660
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Hawa akinamama wakiteseka ni sawa! Hawana sababu ya kulalamika! Wakati wa kura ndio waliosema Kikwete analipa! Waendelee kupata shida hadi watakapopata mang'amuzi hapo 2015. CCM oye!!!!!!!
   
 3. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #3
  Jun 27, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 11,837
  Likes Received: 1,310
  Trophy Points: 280
  Mkuu umesahau 2010 hakushinda ila alishindishwa na ile Tume yake ya uchaguzi aliyoiteua mwenyewe lakini Nina Imani hao wakina mama mungu atawalipia
   
 4. H

  Honolulu JF-Expert Member

  #4
  Jun 27, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 5,660
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Maisha yataendelea kuwa Kitendawili hadi tuwavue CCM magamba!

  [​IMG]
   
 5. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #5
  Jun 27, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 28,811
  Likes Received: 28,925
  Trophy Points: 280
  Hivi kipindi cha kampeni ni kina nani wanapokea kanga, vitambaa, tshirt na kukata viono mikutanoni?

  Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
   
 6. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #6
  Jun 27, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 28,811
  Likes Received: 28,925
  Trophy Points: 280
  Wengi wao walijiunga na ccm wakitoa sababu kuwa jk ni handsome.


  Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
   
 7. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #7
  Jun 27, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 10,995
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160


  Kanga mmoja na tshirt imewaponza!
   
 8. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #8
  Jun 27, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,490
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  haya ni badhi tu ya mateso wanayo yapata wananchi kwenye sekta ya afya pekee bado elimu , maji , kilimo etc
  2015 naona ni mbali sana
   
 9. m

  mamajack JF-Expert Member

  #9
  Jun 27, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 1,163
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  zile kanga na tshirt huwa tunakopeshwa,kwamakubaliano malipo yakatwe kwenye pesa za maendele zinazotengwa na serekali.mkopo huu unatumaliza.
   
 10. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #10
  Jun 27, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,950
  Likes Received: 366
  Trophy Points: 180
  mlo moja tu wa kwenye kampeni unawaponza sana hawa wamama. Babu yangu aliwahi kuniambia mwanamke hata aweje hakui kiakili, nimeamini ni kweli.
   
 11. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #11
  Jun 27, 2012
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,460
  Likes Received: 1,767
  Trophy Points: 280
  Kama wazazi wamerundikana hivi je hivyo vichanga huko nursery vimebanana vipi?!!
   
 12. Kikarara78

  Kikarara78 JF-Expert Member

  #12
  Jun 27, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 925
  Likes Received: 312
  Trophy Points: 80
  Daudi Mchambuzi na Wana JF,
  Ndio wakati wa kuamka Watanzania,
  Tanzania itajengwa na Watanzania wenyewe,
  My Take: Elimu ndio jibu, tukishajua Haki zetu ndio Umaskini, Ujinga na Maradhi yatatutoka
  Nawakilisha


   
 13. Communist

  Communist JF-Expert Member

  #13
  Jun 27, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 5,391
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  CCM hoi. Hoi
   
 14. james chapacha

  james chapacha JF-Expert Member

  #14
  Jun 27, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 942
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Wana ccm umewakamata kinyama,najuwa wanafungua kwa kasi ya kutisha kisha wanakutana na kitanzi chao.KIDUMU CHAMA DHAIFU,ZIDUMU FIKRA ZA M/KITI HATA KAMA NIPOTOFU
   
 15. wagaba

  wagaba JF-Expert Member

  #15
  Jun 27, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 820
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Kweli CCM numeral uno. Mateso kwa kwenda mbele.
  Na hao mama zetu wanaamini kabisa kuwa hayo ndo maisha na hayawezi kubadilika. Wanaamini kuwa mateso hayataisha hadi wanapoenda kaburini.
   
 16. b

  blue arrow JF-Expert Member

  #16
  Jun 27, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 271
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tuombeni tu tume ibadilishwe la sivyo kushindishwa kuko palepale
   
 17. b

  blue arrow JF-Expert Member

  #17
  Jun 27, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 271
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kama niwewe ubora wa chama uko wapi hapo?
  tuingie ndani ya gari imara yenye number T 2015 WITH A GOOD DRIVER known as dr slaa
   
 18. b

  blue arrow JF-Expert Member

  #18
  Jun 27, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 271
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tuwaombee makamanda kwani kelele zao ndiyo inatupeleka kwenye ukombozi wa kweli na maisha bora yenye matumaini na kinyume chake kitakuwa ni CHADEMA CHAMA BORA NA SI CCM TENA
   
 19. M

  Mtabe JF-Expert Member

  #19
  Jun 27, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 675
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mhm jaman
   
 20. tanira1

  tanira1 JF-Expert Member

  #20
  Jun 27, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 938
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  hiyo inaitwa mishikaki waambieni trafiki wanaotusumbua na piki piki mitaani na huu nao ni mshikaki unaatrisha usalama
   
Loading...