Arusha imewezekana?

kitalolo

JF-Expert Member
Dec 4, 2006
1,827
707
Nilikuwa natafakari kama hapa Arusha kumewezekana kukaa bila ya kuwa na mbunge wala madiwani kwa baadhi ya kata na maisha yanaendelea basi siasa haina maana.

kama kuna umuhimu wa kuwa na wabunge na madiwani basi mahakama ifanye kazi yake haraka kuhakikisha wana Arusha nasi tunapata wawakilishi/ na watu wa kutusemea haswa bungeni maana bunge hili kama mwakilishi wa Arusha angukuwepo basi naamini kuwa walau kungekuwepo na misamiaati zaidi ya ule wa DHAIFU ndani ya bunge hili, safari hii sijui nani angeitwa muongo. pengine DHAIFU angengezewa jina na kuwa MDHAIFU NA MWONGO
 
Back
Top Bottom