Harakati Za Kuizika CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Harakati Za Kuizika CCM

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Muke Ya Muzungu, Jun 27, 2012.

 1. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #1
  Jun 27, 2012
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  CCM imekuwa chama changu maisha yangu yote. Baada ya ukatili alofanyiwa Dr. Ulimboka, wizi wa rasilimali zetu hasa mabillioni kufichwa Uswisi, raia wanaodai haki wanafanyiwa ukatili ilhali majambazi yanalindwa, natangaza rasmi kifo cha CCM na viongozi wake. Wawekeeni alama kwenye vipaji vya nyuso zao ili siku nguvu ya umma utakaposhika hatamu, haya majambazi yote yafanyiwe yale yalomkuta Kanali ghadafi. hii ndio lugha wanayoielewa

  Nawaomba wazalendo wote wanaoitakia mema taifa letu kukihama CCM na kuingia upinzani. Ninayo nafasi kubwa ndani ya CCM, ila haya madaraka ni mpito na dhamani mliyotupa wananchi. Natangaza rasmi kuingia upinzani uli kuikomboa taifa. Tunakoelekea ni kubaya, hii nchi imekwisha, Dhaifu , legelege, JK jiuzulu hauna hadhi ya kuwa rais. Nitangaza siku chache zijazo kukihama Chama Cha Maharamia
   
 2. Mbaga Michael

  Mbaga Michael Verified User

  #2
  Jun 27, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 2,914
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 160
  kdogo uchelewe
   
 3. J

  JACADUOGO2. JF-Expert Member

  #3
  Jun 27, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 930
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Karibu sana uvue Gamba uvae GWANDA!
   
 4. d

  dguyana JF-Expert Member

  #4
  Jun 27, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 426
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mbona bado. Umewahi subiri kidogo kama Nape.
   
Loading...