Mheshimiwa Kiwia Kutoa ushahidi wa waliotaka kumuuwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mheshimiwa Kiwia Kutoa ushahidi wa waliotaka kumuuwa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mbaga Michael, Jun 27, 2012.

 1. Mbaga Michael

  Mbaga Michael Verified User

  #1
  Jun 27, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 2,914
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 160
  Kiwia amemtaja live bungeni kuwa anahusika kwani siku ya tukio gari la mh. Hewa lake lilikuwepo eneo la tukio, na ameahidi kuwasilisha ushahidi na majina ya washukiwa wengine
   
 2. Rogie

  Rogie JF-Expert Member

  #2
  Jun 27, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 6,286
  Likes Received: 3,018
  Trophy Points: 280
  Mbona unaweka habari nusu nusu..
   
 3. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #3
  Jun 27, 2012
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 4,006
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  Wakati akiwa nachangia budget ya waziri mkuu alisema waliotaka kumuwa kiwia ni baadhi ya wana ccm hali iliyomtaka chief of whip akamtaka atoe ushahidi na spika ameridhia kwa kumpa siku saba kuleta ushahidi wake.
   
 4. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #4
  Jun 27, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,341
  Likes Received: 2,673
  Trophy Points: 280
  weka habari iliyokamili mkuu
   
 5. Watu

  Watu JF-Expert Member

  #5
  Jun 27, 2012
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 3,054
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  What is Maria Hewa? ni gari ya washawasha or somthing?
   
 6. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #6
  Jun 27, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Hivi hizi shahidi wanatakaga wape wanazipelega wapi?Mbona hatujawahi kusikia mwisho wake?
   
 7. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #7
  Jun 27, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Baada ya polisi kushindwa kaamua kufungua...
   
 8. B

  Bobuk JF-Expert Member

  #8
  Jun 27, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 5,876
  Likes Received: 481
  Trophy Points: 180
  Ni Mbunge wa VITU MAALUMU (CCM) kutoka mkoa wa Mwanza
   
 9. Nicas Mtei

  Nicas Mtei JF-Expert Member

  #9
  Jun 27, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 11,569
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Kwani Kiwia kafa? Unawekaje mada wewe?
   
 10. Mbaga Michael

  Mbaga Michael Verified User

  #10
  Jun 27, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 2,914
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 160
  hata mhusika mwenyewe mh. Kiwia kaitoa hvi, tusubiri habari kamili
   
 11. K

  KWA MSISI Member

  #11
  Jun 27, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 73
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mh.Kiwia yupo hai na yupo bungeni Dodoma.
   
 12. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #12
  Jun 27, 2012
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Hata mi nimeshangaa... Mijitu mingine bana...
   
 13. Blessed

  Blessed JF-Expert Member

  #13
  Jun 27, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 2,488
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  mh! kiwia si hajafa edit hyo heading
   
 14. E

  Elizabeth Dominic Platinum Member

  #14
  Jun 27, 2012
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 4,547
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Alikuwa anawahi kupost

  Wakati anachangia Mh Kiwia amesema watu wa CCM walihusika katika jaribio la kutaka kumtoa maisha ndipo Lukuvi kama kawaida yake akasema Kiwia alete ushahidi kwakuwa tuhuma hizo ni nzito ndipo Kiwia akasema gari la Mheshimiwa wa CCM lilikuwepo eneo la tukio
   
 15. B

  Bobuk JF-Expert Member

  #15
  Jun 27, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 5,876
  Likes Received: 481
  Trophy Points: 180
  Tunataka pia ushaidi wa Lema dhidi ya Pinda kusema uongo Bungeni utolewe wazi mbona SPIKA anaukalia?
   
 16. awp

  awp JF-Expert Member

  #16
  Jun 27, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,714
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Simile nipite...
   
 17. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #17
  Jun 27, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Hata mimi nimeshindwa kushangaa
   
 18. Rasib

  Rasib JF-Expert Member

  #18
  Jun 27, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 395
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mongozo jamani! Kwani kafa?
   
 19. Rogie

  Rogie JF-Expert Member

  #19
  Jun 27, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 6,286
  Likes Received: 3,018
  Trophy Points: 280
  Duuh aise..hili ni anguko baya sana ambacho Magamba wataanguka..
   
 20. E

  Elizabeth Dominic Platinum Member

  #20
  Jun 27, 2012
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 4,547
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Halafu Mwigulu akaleta upuuzi eti akasimama kuomba muongozo eti huo si ushahidi kwani hata nje ya ukumbi wa Bunge gari la Mheshimiwa Hewa lipo.......................Kiwia akajibu kuwa kuna watu wanafanya mzaha na maisha ya watu.......disgusting!
   
Loading...