Kufuatia mateso kwa Dr Ulimboka, vyumba vya maiti nao wagoma! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kufuatia mateso kwa Dr Ulimboka, vyumba vya maiti nao wagoma!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Tiger One, Jun 27, 2012.

 1. T

  Tiger One JF-Expert Member

  #1
  Jun 27, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 569
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Wana Jf nimepata habari mbaya kuwa wahudumu wa vyumba vya maiti hospitali zote za Dar wametangaza mgomo wa kutopokea wala kuhudumia maiti yoyote hata kama mtu kafia hapohapo hospitali husika mpaka Dr Ulimboka atakapo kuwa amepona na kueleza yaliyo msibu.
  Hivi nchi hii tunaelekea wapi?
  Kama vile hamna kinachoendelea, nasikia JK yuko bussy na mipango ya safari yake ya Canada.
  Nadhani kwa mgomo huo sasa maiti zitapangwa jangwani kwani huo ndo uwanja mpana.
   
 2. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #2
  Jun 27, 2012
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Ningependekeza Maiti zipelekwe ikulu
   
 3. mysteryman

  mysteryman JF-Expert Member

  #3
  Jun 27, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 986
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  duh......!!!!!
   
 4. F

  Froida JF-Expert Member

  #4
  Jun 27, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,903
  Likes Received: 1,330
  Trophy Points: 280
  JK ni Laana ya nchi hii kama EMMA
   
 5. Ipyanah

  Ipyanah Member

  #5
  Jun 27, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 99
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  "If you succumb to the temptation of using violence in the struggle, unborn generations will be the recipients of a long and desolate night of bitterness, and your chief legacy to the future will be an endless reign of meaningless chaos."
  Martin Luther King, Jr.
   
 6. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #6
  Jun 27, 2012
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Ntakuwa mtu wa mwisho kuamini kuwa aliyotendewa Ulimboka yametendwa na serikali/polisi. Naomba Mungu amlaani sasa hivi na amuondoe duniani, yeyote aliyepanga na kutekeleza uovu huu dhidi ya Dr Ulimboka.
   
 7. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #7
  Jun 27, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 554
  Trophy Points: 280
  Tuko bwana. Naona umeamua kumpa Mungu order.
   
 8. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #8
  Jun 27, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,257
  Likes Received: 2,080
  Trophy Points: 280
  ...kazi ipo.. "litakalokuwa na liwe"
  ...ni dalili mbaya za kukiri kushindwa.
   
 9. T

  Tiger One JF-Expert Member

  #9
  Jun 27, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 569
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Sencerery for me it does't implemt since suffering just started from ****** regem and will end within the same regem when ****** handles power to people's power!!!
   
 10. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #10
  Jun 27, 2012
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Nimeomba. Sijawahi kumuombea mtu mabaya hata adui zangu, but with this... Mungu atuondolee mtu/watu hawa...
   
 11. Arvin sloane

  Arvin sloane JF-Expert Member

  #11
  Jun 27, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 963
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Kwani dr. Ulimboka anaumwa nini?
   
 12. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #12
  Jun 27, 2012
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,483
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  Kushindwa wakati mapambano hayajaanza bado? Subiri muone upande wa pili wa dola baada ya ule wa kistaarabu kushindwa kufanya kazi LIWALO NA LIWE.
   
 13. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #13
  Jun 27, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,202
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Mkuu Sangarara yule hakimu aliyemhukumu Lema mguu kwisha habari yake hizo ni laana za watu milioni 20
   
 14. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #14
  Jun 27, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,962
  Likes Received: 1,284
  Trophy Points: 280
  itafikia hatua Magamba yatajibeba mtaani. Tutajibu mapigo
   
 15. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #15
  Jun 27, 2012
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Tume ya Taifa ya Uchaguzi ijifunze kutokana na yanayotokea Tanzania kwa sasa, watu wenye akili zao wamempima mtu wamegundua hana uwezo wa kuwa kiongozi wa nchi wamemkataa lakini wao wanaamua tu kumtangaza tu, haya Jk anawaonyesha uwezo wake kwa matokeo tuu. Maisha yanazidi kuwa magumu kwa watumishi wa umma na sector binafsi. Ilihali amewahi kudanganya kwamba atafanya maisha bora kwa kila Mtanzania
   
 16. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #16
  Jun 27, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,257
  Likes Received: 2,080
  Trophy Points: 280
  ...kama kuwapiga viongozi na kuwajeruhi eee!?
  Haya twasubiri the other side of the coin...
   
 17. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #17
  Jun 27, 2012
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,483
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  Subiri uone ndugu tumewaona wakitamba wao tu sasa na serikali itatumia nafasi yake LIWALO NA LIWE.
   
 18. grafani11

  grafani11 JF-Expert Member

  #18
  Jun 27, 2012
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 15,534
  Likes Received: 342
  Trophy Points: 180
  Unataka kuniambia ss wanaharakati tunaopigania haki zetu tujiandae kwenda MOI! Basi mm natangulia..
   
 19. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #19
  Jun 27, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 554
  Trophy Points: 280
  Mungu nayemjua mie angependelea kuona hawa watu wanatubu dhambi zao zote na kuanza kuishi kwa mujibu wa maelekezo yake ili wasipotee. Ninaamini kabisa kabisa kwamba maombi yako yamewekwa kapuni.

  Nadhani hawa watu wako ndani ya uwezo wetu, tujadili namna ya kuwashughulikia bila kusababisha madhara zaidi.
   
 20. amkawewe

  amkawewe JF-Expert Member

  #20
  Jun 27, 2012
  Joined: Dec 9, 2011
  Messages: 2,029
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Hapo kwenye red unaweza kufafanua?
   
Loading...