Sina imani na Kova | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sina imani na Kova

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mhalisi, Jun 30, 2012.

 1. mhalisi

  mhalisi JF-Expert Member

  #1
  Jun 30, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,181
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  1: alishabikia mkasa uliopata Jerry Muro
  2: amemteua ACP Msangi kuwa mkuu wa upelelezi wa tukio la kuteswa kwa Dk.Ulimboka wakati ACP Msangi ni mtuhumiwa wa tukio lenyewe.
  3:amedanganya ya kwamba ASP Mokiri alikuwa katika upelelezi wakati Dk.Ulimboka anafikishwa Muhimbili ilihali Mokiri alikuwa akichunguza kama Dk.Ulimboka alikua bado hai
   
 2. Ndechumia

  Ndechumia JF-Expert Member

  #2
  Jun 30, 2012
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 1,015
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  kama ulimboka alitekwa mna majambazi walimwibia nn?

  hakuna mtu atakubali kupoteza nguvu zake aende had mwambe pande akamtumpe ulimboka bila kumwibia,HAO HAWAKUWA WEZI
   
 3. g

  gabatha Senior Member

  #3
  Jun 30, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 108
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Hata mm sina imani na Kova yasemekana yy ndiye aliepanga mauaji ya J onh Lubungo wkt Kova AKIWA RPC MBEYA.
   
 4. Havizya

  Havizya JF-Expert Member

  #4
  Jun 30, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 1,573
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Nakuunga mkono 101%
   
 5. paty

  paty JF-Expert Member

  #5
  Jun 30, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,259
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  kiujumla sina imani na policcm kabisa, sio kova pekee
   
 6. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #6
  Jun 30, 2012
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Kazi yake kubwa aliyopewa na kusaidia kuwalinda mafisadi vigogo wanaowadhulumu Watz masikini. Atahukumiwa vilivyo, msaliti mkubwa wa wanyonge.

  Kwanza aeleze lile jengo la gorofa 8 analolijenga pale Ilala karibu na mahakama hela alipata wapi.
   
Loading...