CONFIRMED TAREHE 4,07.2012 Ndekiro Tanganyika kajitoa kuongoza maandamano

Mwanaharakatihuru

JF-Expert Member
Mar 21, 2012
477
120
Hayawi hayawi yamekuwa mwana wa nchi kaamua serikali iko kimya bunge kimya mahakama kimya sasa wananchi wanatenda ndio kauli yake nami mwanaharakati huru na muunga mkono ntaandamana. Yote kwenye FB page yake ndekiro tanganyika na public group maandamano
http://www.facebook.com/events/259854067453279/
Anasema "niungeni mkono katika mapambano hata kama nitakufa ila nipeni moyo kwamba nilisimamia nilicho kiamini kuwa ni haki na kweli, maandamano ya amani tarehe 04/07/2012 tatu asubuhi kuanzia ubungo mataa mwambie na mwenzako au share hii link, bunge halizungumzi bali sisi tutatenda"
 
Ndekiro ndio nini, Maandamano ya nini, yataanza wapi, yataishia wapi, saa ngapi, wakipiga mabomu na risasi tufanye nini, tukimbie au tucharge.
 
Fafanueni hii habari vizuri na kutoa vielelezo vya kutosha na vya uhakika. Haya maamuzi si madogo, kwani wengine tutapenda kushiriki kikamilifu. LIWALO NA LIWE
 
hayawi hayawi yamekuwa mwana wa nchi kaamua serikali iko kimya bunge kimya mahakama kimya sasa wananchi wanatenda ndio kauli yake nami mwanaharakati huru na muunga mkono ntaandamana. Yote kwenye fb page yake ndekiro tanganyika na public group maandamano

niungeni mkono katika mapambano hata kama nitakufa ila nipeni moyo kwamba nilisimamia nilicho kiamini kuwa ni haki na kweli, maandamano ya amani tarehe 04/07/2012 tatu asubuhi kuanzia ubungo mataa mwambie na mwenzako au share hii link, bunge halizungumzi bali sisi tutatenda
 
Someni hapa, ingawa bado kidogo: http://www.facebook.com/ndekiro.tanganyika
557237_444926862194332_1886035024_n.jpg
 
Ndekiro ndio nini, Maandamano ya nini, yataanza wapi, yataishia wapi, saa ngapi, wakipiga mabomu na risasi tufanye nini, tukimbie au tucharge.

wewe kama unaogopa risasi na mabomu lala nyumbani na mke wako acha sisi wanaharakati tusonge mbele kupambana hali ikiwa nzuri wewe ufaidi wakati sisi au tumekufa au tumejeruhiwa vibaya!!
 
Back
Top Bottom