Ninadhani ninahaki ya kuwaza hivi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ninadhani ninahaki ya kuwaza hivi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ELFU-ONEIR, Jun 30, 2012.

 1. ELFU-ONEIR

  ELFU-ONEIR Senior Member

  #1
  Jun 30, 2012
  Joined: Jun 27, 2012
  Messages: 183
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nadhani na nitaendelea kudhani kuwa bw JK alidhamiria sana kuingia ikulu but ninachodhani mimi nikua hakua amejipanga yakua akiingia ikulu ataifanyia nini tanzania matokeo yake amekua akidandia matukio tu pamoja na kuzifanya kazi za "uwaziri wa mambo ya nje" zaidi kwenye kusafiri kuelekea marekani na kwingineko.

  Bado naendelea kudhani kwamba ingefaa sana kama angejaribu kuhitaji na kudumu kwenye kuomba ushauri wa namna bora ya kuendeleza nchi yetu kuliko kufunga safari kwenda marekani kuomba vyandarua vya futi 3 kwa 5.

  Nchi hii inavingi ambavyo vikitumika vyema pengine wamarekani wangekuja kuomba ubia na kuwekeza kwa namna na masharti tunayo yaweka sisi kuliko wao kuja na kutuwekea masharti ili tuwakubali wawekeze hapa.
   
 2. Aleyn

  Aleyn JF-Expert Member

  #2
  Jun 30, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 10,228
  Likes Received: 13,680
  Trophy Points: 280
  Ni kweli kabisa huyu Jamaa nchi imemshinda.
   
 3. r

  rodrick alexander JF-Expert Member

  #3
  Jun 30, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 4,110
  Likes Received: 1,499
  Trophy Points: 280
  Ulichosema ni sahihi kuna watu waliamua kusafiria nyota yake walipomuingiza ikulu wao wakatumia fursa hiyo kujikusanyia mali na yeye wamemuacha ajui afanye nini kwa utendaji wake sasa hivi kila mtu anafikiri anaweza kuwa rais
   
Loading...