Live On Star TV: Jicho ndani ya Habari, wazungumzia kisa cha Dr. Olimboka

jamani miye kwangu loe ni wk end kids ndio wako bize na tv na cartoons za miss dora sasa nijuzeni aisee. siwez kuwakatili manake its the only day they have ya kuangalia.
 
Wanajaribu kuelezea namna magazeti walivyoripoti

UHURU; Kinala wa Mgomo hoi- hapa mhariri ni wazi kafurahi sana kwa Dr. Olimboka kupigwa na kuumizwa na inaelekea tayari keshatoa hukumu

HABARI LEO: Serikali haihusiki na kupigwa kwa Dr. Olimboka, ni wazi wanajua kilichomtokea wakajitoa katika sakata hilo
 
Kwanini wasijadili tanzania daima,nipashe augazeti yote.hii inaonyesha wao wenyewe wameegemea upande mmoja.
YAANI TANGU DIARO AACHWE KWENYE BARAZA LA MAWAZIRI HII TV YAKE IMEKUA KIMEO HASWAA.
Ndo maana hata bunge siku hizi wanaonyesha live tu siku wabunge wameichachamalia serikali.
HAWAFAI
 
jamani miye kwangu loe ni wk end kids ndio wako bize na tv na cartoons za miss dora sasa nijuzeni aisee. siwez kuwakatili manake its the only day they have ya kuangalia.

you've given me something to think of, bse my wife is expecting one
 
Hao wanafunzi hata magazeti hawajayasoma. Wanakosoa kilichomo. Story ya kwanza ya mabilioni ilieleza kwa zingetosha bajeti ya wizara ya mifugo kwa miaka mitano
 
Nasema ni wazi kuwa Nchi hii sasa inakwenda kusiko maana mambo muhimu watu wanaonamchezo tu......Habari zinaandikwa kwa maslai fulani mambo muhimu yanaachwa hii inaonesha wazi kuwa hata waandika habari nao kutokuwa makini.
Hii nchi sasa maamuzi yawe kwa Wananchi maana tuliowapadhamana ya kutuongoza wameshindwa ndio maana kila siku matatizo yanaibuka hapa nchini. Hima wananchi Nchi yetu ni yetu wenyewe si ya Mtu furani ambaye anatufanya tuishi maisha ya Taabu.

Ni wakati sasa kuamua wenyewe Watanzania leo hii Vyombo vya Habari hata kutupotosha kwa kusema hakuna mgomo wa Madaktari wakati watu wanataabika. Kubembelezana kufike mwisho sasa huu upole wetu ndio unaosababisha kuisha maisha ya kulalamika kila siku.
 
Kwanini wasijadili tanzania daima,nipashe augazeti yote.hii inaonyesha wao wenyewe wameegemea upande mmoja.
YAANI TANGU DIARO AACHWE KWENYE BARAZA LA MAWAZIRI HII TV YAKE IMEKUA KIMEO HASWAA.
Ndo maana hata bunge siku hizi wanaonyesha live tu siku wabunge wameichachamalia serikali.
HAWAFAI

You are offpoint! Wamesema yote hayo na wakaona UHURU na HABARI LEO wanaonesha tu kuwa serikali haihusiki na alivyotendewa na pia kuwa alipata kipigo kwa vile yeye ni kinara. Magezeti mengine yanaonesha kitendo alichofanyiwa ni cha kinyama. Sasa kwa UHURU na HABARI LEO wanakuwa "defensive" kwa serikali inafanya kuwe na hisia kuwa serikali ina mkono wake kwenye hilo tukio. Ni kama wizi utokee mahali na halafu wewe ujitokeze na kuanza kujitetea kuwa hujaiba, si unafanya wanaokusikia wahisi inawezekana wewe ni mhusika mmojawapo?
 
Kwanini wasijadili tanzania daima,nipashe augazeti yote.hii inaonyesha wao wenyewe wameegemea upande mmoja.
YAANI TANGU DIARO AACHWE KWENYE BARAZA LA MAWAZIRI HII TV YAKE IMEKUA KIMEO HASWAA.
Ndo maana hata bunge siku hizi wanaonyesha live tu siku wabunge wameichachamalia serikali.
HAWAFAI
Hufai wewe
 
Kuna jamaa amechangia kwa hasira huku akisema wazi viongozi wa serikali ni wapumbavu akakatizwa! Mtangazaji anaomba lugha ya staha!
 
Magazeti ya tanzania yako kama bendera fuata upepo,wanabase sana kwenye matukio ya siku husika na kuacha maswali ya mambo yaliyopita,mfano issue za epa,deepgreen,richmond n.k.hizo bl 300 za uswiss baada ya siku mbili hawataandika tena na wabongo tutasahau.
 
Kwanini wasijadili tanzania daima,nipashe augazeti yote.hii inaonyesha wao wenyewe wameegemea upande mmoja.
YAANI TANGU DIARO AACHWE KWENYE BARAZA LA MAWAZIRI HII TV YAKE IMEKUA KIMEO HASWAA.
Ndo maana hata bunge siku hizi wanaonyesha live tu siku wabunge wameichachamalia serikali.
HAWAFAI
mimi nawashangaa baadhi ya watanzania,sisi tuliowaajiri ni serikali na ndo saizi yetu.
kama wameajiri madaktari ili kutuhudumia ni juu yao kuhakikisha sisi tunapata huduma ya afya kwa uhakika pamoja na mengineyo kama elimu,maji na miundombinu.
ikiwa katika hao kuna ambao hawatimizi wajibu kwetu sisi tunaibana serikali maana hatuujui mkataba wao na madaktari vilevile waalimu.
madaktari hawajawagomea watanzania bali wameigomea serikali ambayo wana mikataba nayo.
 
Wanajaribu kuelezea namna magazeti walivyoripoti

UHURU; Kinala wa Mgomo hoi- hapa mhariri ni wazi kafurahi sana kwa Dr. Olimboka kupigwa na kuumizwa na inaelekea tayari keshatoa hukumu

HABARI LEO: Serikali haihusiki na kupigwa kwa Dr. Olimboka, ni wazi wanajua kilichomtokea wakajitoa katika sakata hilo

Mkuu umesahau kuwa haya magazet ni ya rangi ya majani bangi?
 
Back
Top Bottom