Iran: Using Tanzania To Evade International Sanctions [ Nchi Yetu Imeuzwa] Kikwete Jiuzulu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Iran: Using Tanzania To Evade International Sanctions [ Nchi Yetu Imeuzwa] Kikwete Jiuzulu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Muke Ya Muzungu, Jun 25, 2012.

 1. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #1
  Jun 25, 2012
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Njaa itatumaliza. Tunavyoongea, Nchi ya Iran kupitia mawakala wale kwenye serikali yetu, wamefanikiwa kusajili meli zao kadhaa zinazobeba mafuta kukwepwa vikwazo vya kiuchumi vilivyowekwa na Marekani pamoja na washirika wake. hili ni swala zito sana, ambayo inaweza kuliingiza taif aletu katika msukosuko wa kidiplomasia. Tunamhitaji Rais kikwete atuelzee watazania hii imefanyikaje yeye akiwa kama rais, je nchi yetu inapokuwa tegemezi kwa wamarekani na wa Europa, je tutakabilianaje na hili swala ambalo tumejiingiza kichwa bila kutafakari kutokana na jaa ya mafisadi??

  Sote tunafahamu fika kwamba, Tanzania haina meli yenye uwezo mkubwa wa kubeba mafuta " super tanker" . Ndio CCM ni mama, lakini hapa tunapoelekea ni kubaya. Mkikumbuka vyema, siku za hivi karibuni, viongozi wengi mpaka makamu wa Rais wa Iran wamekuwa wakiitembelea Tanzania, kumbe walikuwa na lao jambo? Ama kweli Tanzania shamba la bibi. Hatujawahi kuwa na uongozi dhaifu kama tulionao sasa hivi. Rais Kikwete kama hii ni kweli, tunaomba ujiuzulu vinginevyo watanzania wataichukua nchi yao na utawala wote wa CCM utaingia pabaya kwenye historia ya nchi inayosadikia kuwa na utulivu pamoja na amani...... Jisomee hapa chini

  Source
  NITC, an oil-tanker company owned by Iranian pension funds, renamed at least 10 of its vessels and switched them to a Tanzanian flag amid increasing curbs on transactions with the Persian Gulf nation.

  NITC renamed five very large crude carriers, each holding about 2 million barrels of oil, and five Suezmaxes, hauling 1 million barrels, according to the Equasis shipping database maintained by the European Commission. Ownership was switched from NITC to new companies operating from the same address in Tehran and NITC remains the operator, the data show. All the ships were previously registered in Malta or Cyprus.

  A full European embargo on Iranian crude exports, which starts July 1, extends to insuring vessels that carry the oil. Twenty-five NITC tankers are being used to store crude, the Paris-based International Energy Agency said June 13. The U.S. and Europe said Iran’s nuclear program is aimed at developing atomic weapons while the government in Tehran says it is for civilian purposes.

  Habibolah Seyedan, NITC’s commercial director, was unavailable for comment, said a person who answered a call to his office today. The company lists 39 tankers on its website. Philtex Corp. operates the administrative office of the Tanzania Zanzibar International Register of Shipping from Dubai, according to the register’s website. A message to the listed e- mail address for enquiries wasn’t immediately answered.
   
 2. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #2
  Jun 25, 2012
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Kazi za Rostam Aziz. Huyu mtu hastahili kuwepo hata humu nchini haki ya mama
   
 3. m

  mr.dominick JF-Expert Member

  #3
  Jun 25, 2012
  Joined: Jun 21, 2012
  Messages: 244
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  unaweza kuandika utakavyo , dunia hii .

  Unajua hata wakati wa vita ya Iraq na Iran , Amerika alikuwa ikimuuzia silaha muirani kupitia Israel na huku ameweka vikwazo


  Hapo usifikiri mlaji ni Mtanzania hata hao unaowaona wewe wanaweza kuleta matatizo ya kidiplomasia inawezekana ndio waliosuka huo mpango
   
 4. Mkubwa ndevu

  Mkubwa ndevu JF-Expert Member

  #4
  Jun 25, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 755
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  hamna mnachojua kwn marekani waume zenu wakisema wao na nyie mufuate acheni chuki za kanisa kwa kikwete mbona nchi nyingi zinaekewa vikwazo na cc 2nazitambua km cuba pales tine
   
 5. BINARY NO

  BINARY NO JF-Expert Member

  #5
  Jun 25, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,778
  Likes Received: 588
  Trophy Points: 280
  Kwahiyo unafurahia IRAN kupewa kuwekewa vikwazo na US/UK/UE? Na je kuja makamu wa Rais wa IRAN ulichukia sana? Mbona walivyokuja wakina BUSH,CLINTON na miradi yao inayoinyonya Tanzania na umama wako wa ccm mbona hujapiga kelele au kwa vile wana idea za kishoga na unafurahi hiyo ndo democracy wanayokuachia uku wakiendelea kukuibia rasilimali za Tanzania...Pia ukumbuke TZ ni non-aligned movement hivyo haindeshwi kutoka US/UK wala UE japo kua viongozi wako wa ccm ndo wametufikisha apa tulipo mpaka kuona kushirikiana na IRAN ni dhambi na uenda tukakosa misaada ya hawa ma imperilists...Ni miaka mingapi unapata misaada na bado upo palepale je umeendelea km unavyohisi ? Kwa taarifa yako IRAN imewekewa vikwazo tokea 1979 na imeweza kuovercome those difficult na wakawekeza kwenye elimu bila ya misaada ya hao mashoga wako na leo hii ni Taifa kubwa na lenye kila aina ya technology mpaka hii chuki yote hii wala sio nuclear bali na technological advancement ndo inayowapa pressure kwani ana export almost all things you know....Tanzania tunahitaji kua na viongozi wenye maono na kuwekeza kwenye elimu ya kweli then utaona kuliko kua na idle mind km ya huyu ccm mama anaetegemea kupewa misaada uku umaskini ikiwa ndo kwanza unazidi
   
 6. kadoda11

  kadoda11 JF-Expert Member

  #6
  Jun 25, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 16,304
  Likes Received: 8,398
  Trophy Points: 280
  ....na hata kama angepatikana sana sana angeishia kusema "NO that's not TRUE".chezaa deal za wakubwa wewe...
   
 7. F

  Froida JF-Expert Member

  #7
  Jun 25, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  ilichobaki kwa Raisi Kikwete ni Kutuchuna ngozi full stop our flag has turned to be a luggish piece of cloth ukiona Raisi anapewe pair sita za suti na anaunza ngorongoro unategemea nini mpaka anaondoka atakuwa ametuuza na sisi
   
 8. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #8
  Jun 25, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  IT is more than amazing the way our current breed of leadership in Tanzanian is making such HUGE AND RISKIER SACRIFICES FOR Iran's illegal nuclear programme in the name of a SHARED CONVICTION IN ISLAM.

  The ultimate question is, we are doing all these at what costs in the face of the badly endangered International Community on the rise of a proliferation of cladestine trades geared toward supporting Iranian nuclear project all the way from Katanga in DRC to Selous Game Reserve in our own backyards for uranium supplies.

  Wananchi, let's talk it alound now before the international community shows a RED LIGHT on our faces any sooner. Tanzania is greater than any one of us, not even the president is any greater.
   
 9. Imany John

  Imany John Verified User

  #9
  Jun 25, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 2,777
  Likes Received: 262
  Trophy Points: 180
  Weak! Than ever before, he is busy with Wema and somebody ..... From Nigeria discussing how film industry can be a big buziness like hollwood!
   
 10. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #10
  Jun 25, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Waliokataa uwepo wa Wahajemi pamoja na ajenda kuu ya UDINI pale kwenye ofisi moja karibu na iWay Masaki ikituendesha Taifa la Tanzania kama ki-Robot, shauri yenu mtakuja kushtuka kukiwa kumechelewa sana.

  Katika hili Tanzania hatuko salama kwa kulazimisha kuchukua mzigo wa Iran kuwa wetu hata bila kutafuta baraka za bunge.

  Many surprises are yet on the way coming. Just keep watching this space kwa MADHAIFU mengine mazito zaidi ya haya yatakayotuletea hasara ya kukabiliwa gizani na jumuia ya kimataifa.

  WaTanzania wenzangu, mengi tumeyaandika humu lakini bila ya kusikilizwa, na tukasema siku nyingi sana kwamba watu fulani wajiuzulu mapema kama salama yao vile vile hatukusikilizwa sasa ni bora kuziba ufa kuliko kuja kujenga ukuta mzima tena kwa gharama ya kutisha.

  Bajeti yetu iliopitishwa kishabiki kule Dodoma inayo baadhi ya vipengele ambavyo si salama hata kidogo endapo nchi wahisani hawtochukua hatua stahiki tena kwa wakati.
   
 11. B

  Bob G JF Bronze Member

  #11
  Jun 25, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 2,354
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Ina maana wamarekani na washirika wake hawajagundua hili? Nini kitatokea wakijua? maana urafiki na marekani ni kulinda maslahi ya marekani vinginevyo tatakukuta ya kukukuta, angalia Iraq,Iran,LIbya, na wengine wengi, ccm inataka kutuletea balaa
   
 12. BINARY NO

  BINARY NO JF-Expert Member

  #12
  Jun 25, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,778
  Likes Received: 588
  Trophy Points: 280
  subirini condoms kutoka marekani na misaada mingine kwani ndo inayowafaa wa TZ
   
 13. c

  chilubi JF-Expert Member

  #13
  Jun 25, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 3,038
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  Mi nasema kila alokua na uwezo wa kutengeza nuclear na atengeze tu, muda wa kutawala dunia kiubabe yamepitwa, CHINA anakuja juu kiuchumi, muache muiran atengeze mizinga iyooo!!! To hell with USA na shoga mwenzake UK na FRANCE!!
   
 14. c

  chilubi JF-Expert Member

  #14
  Jun 25, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 3,038
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  Ningekupa LIKE mkuu kama
  Ningekuwa na pc!!! Wacha wajinga waletewe ushoga ndio wanaoukubali!!
   
 15. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #15
  Jun 25, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Kuwa na Nuklia kwa Nchi Takatifu tena ya Kiislamu; ruksa watengeneze nyingi tu wal hilo halitutatizi sie huku.

  Swala zito hapa ni kwamba je, kwa nini sisi Tanzania ndio tutumike kama ngazi ya kufikia malengo hayo kwa kupewa sapoti na taifa lisilo na dini yake hili tofauti na Iran ambyo rasmi ni nchi ya KIISLAAMU??????????

   
 16. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #16
  Jun 25, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Mambo ya kusajiliwa meli duniani mbona ni madogo sana, hao wameitumia Zanziabar kwa kuwa shria za Zanzibar zinawaruhusu kusajili meli za miaka zaidi ya 15. Sheria za nchi nyingine nyingi ikiwemo Huku Tanzania bara haziruhusu meli ya zaidi ya miaka 15 kusajiliwa.

  Haimaanishi chochote zaidi ya kuwa ni biashara. Iran kama wamezuiliwa kuuza mafuta yao ina maana hata meli iwe imesajiliwa kokote duniani haiwezi kuruhusiwa kuyauza. Iwe imesajiliwa Zanzibar au China. Wacheni fitna na majungu, waacheni Zanzibar nao wajiingizie kipato.

  Sheria za usajili wa meli hazipo kwenye Muungano na hazimuhusu Kikwete. Bara wana sheria zao na visiwani wana sheria zao.
   
 17. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #17
  Jun 25, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145

  For your Information; Mafuta ya Iran bado hayajawekewa Sanctions... Ni Bidhaa Nyingine za Kinuclear

  Nchi za Europe zimeweka full Embargo to Iran due to Iran kuwafukuza Nuclear Scientists wakaamua kutonunua OIL

  India, China bado wanaagiza Mafuta toka Iran...
   
 18. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #18
  Jun 25, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 4,971
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  Tatizo lenu UAMSHO hata kama watu wote wakiona giza ninyi mnaona mwanga na matokeo yake mnajikuta mnatumbukia kwenye dimbwi la migogoro ambayo hata watoto wadogo hujiuliza kuhusu uwezo wenu wa kufikiri na kufanya maamuzi. Comment uliyotoa ina misingi ya kidini zaidi kuliko kutumia akili ya kichambuzi. Ninyi kwa nini hamwezi kuwa neutral hata sikumoja ni ushabiki tu?i
   
 19. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #19
  Jun 25, 2012
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  - heshima mbele mkuu. nashangaa wengine wanaleta udini na ushabiki kwenye swala kama hili. mimi ni mwislamu, tena kiongozi ndani ya chama chetu. Hili siyo swala la kidini ni swala la ki-upumbafu. Si hafikiani na huu uamuzi wa kutubebesha mzigo usio wetu. huu ni ujinga ambao tunajitwika. Ukifuatilia kwa undani utakuta kuna mikono ya watu ndani ya serikali walipewa vijihela kufanikisha hii process. Hacheni kuleta mambo ya ushaki na udini kwenye maswala muhimu ya Kitaifa. Mimi mwislamu tena swala 5 ila sikubaliana na wapuuzi wanaoingizi udini kwenye maswala kama haya

  -Waandishi wa habari msilale. Jaribuni kuhoji chanzo cha haya mambo, na yamefanyika kwa manufaa ya nani. Nashangaa vyombo vyetu na hata waandishi wetu wa habari hawakuweza kuligundua hili hadi tuna habarishwa na vyombo vya habari vya kigeni. Wekeni uzalendo mbele watanzania. Ushabiki wa kijinga utatumaliza. Ninacheo kikubwa ndani ya CCM na hata serikalini lakini kamwe sitakubali huu ujinga kuendelea. Lazima tupigane hadi kieleweke

  -Mheshimwa Mwakyembe, tunaomba ujibu hili swala. Kwa maana punde tu tutajiingiza katika matatizo ya kidiplomasia. Nchi yetu haiwezi kutumika kama launching pad. Zama hizo zimepita ndugu zangu
   
 20. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #20
  Jun 25, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 4,971
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  Naona waislam mmejipanga kumbe mnajua kinachoendelea? Mungu ni mkubwa na tutasimama kuhakikisha nchi yetu haigeuki kuwa kichaka cha kujificha watu wanaopingwa na dunia nzima kwani nasi hatutanusurika. Sijaona nchi ya kiafrika iliyo pata support kutoka nchi za kiarabu ikaleta mageuzi ya kimaendeleo zaidi ya kujenga misikiti na na kuhamasisha kuwasilimisha wakristo. Hili tutalikaa kwani lina maslahi kwa waislamu tu na siyo waTZ wote. usitaje Condom tu taja na shule ,hospitali , na viwanda walivyosupport ambavyo vinasaidia waTZ wa dini zote.
   
Loading...