Diwani wa CCM Kibaha Vijijini Aida Mtei, Mtoto wa Mdogo wake Edwin Mtei (Chadema) Afariki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Diwani wa CCM Kibaha Vijijini Aida Mtei, Mtoto wa Mdogo wake Edwin Mtei (Chadema) Afariki

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by nngu007, Jun 30, 2012.

 1. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #1
  Jun 30, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  [​IMG]


  Kamanda wa UVCCM, Kibaha Vijijini mkoa wa Pwani, Aida Mtei (pichani) amefariki dunia. Mipango ya Mazishi inafanyika Nyumbani kwa wazazi wake Mbezi kabla ya Rembow.

  MAITI YA MAREHEMU LEO IMEPELEKWA NYUMBANI KWA WAZAZI WAKE, MBEZI KWA AJILI YA KUPEWA HESHIMA ZA MWISHO USIKU MZIMA WA LEO NA KESHO MPAKA SAA TATU ASUBUHI, MSIBA UTAHAMIA KANISANI KKT TANGI BOVU MBEZI KWA AJILI YA SALA MAALUM, NA BAADAYE UTAKUWA MSAFARA WA KUELEKEA KIONDONI MAKABURINI KWA AJILI YA MAZISHI. MUNGU AWAPE NGUVU FAMILIA NZIMA YA MTEI NA MBOWE NA POLENI SANA MSIBA HUU WA KAMANDA WA UV-CCM KIBAHA VIJIJINI.
   
 2. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #2
  Jun 30, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Wachagga wote sio CHADEMA, hata Ndugu wa aliyeanzisha Chama ni tofauti kiitikadi; Lakini Bado watu wanakishambulia

  Chadema kuwa ni Chama Cha watu wa Aina Moja tu...
   
 3. MANI

  MANI Platinum Member

  #3
  Jun 30, 2012
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,413
  Likes Received: 1,873
  Trophy Points: 280
  Bwana ametoa,bwana ametwaa jina lake lihidimiwe !
   
 4. paty

  paty JF-Expert Member

  #4
  Jun 30, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,259
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  R.I.P , ulale pema peponi
   
 5. franksarry

  franksarry JF-Expert Member

  #5
  Jun 30, 2012
  Joined: Nov 9, 2009
  Messages: 1,107
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160
  R.I.P, Aida Mtei Swai
   
 6. Fekifeki

  Fekifeki JF-Expert Member

  #6
  Jun 30, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 1,167
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  R.I.P Mama A. Mtei! kila mtu atauonja umauti.
   
 7. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #7
  Jun 30, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Mungu akulaze unapostahili gamba
   
Loading...