Taarifa kwa wazanzibar wanaumwa na nchi yao | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Taarifa kwa wazanzibar wanaumwa na nchi yao

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by jamesbond007, Jun 30, 2012.

 1. jamesbond007

  jamesbond007 Member

  #1
  Jun 30, 2012
  Joined: Jun 27, 2012
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mzanzibari mwenzetu mwengine ametangulia mbele ya haki leo katika hospitali ya mnazi mmoja baada ya kufyatuliwa risasi ya moto eneo la darajani, maziko yake yanategemewa kufanyika kijichi lakini mpaka muda huu maiti haijatolewa hospitali hapo, napenda pia kuwaarifu maamiri kua hili ni letu na tumshindikize kwa umoja wetu mwenzetu.

  Wanaanza kutuuwa kwa kudai haki ya nchi yetu, hivi nyie hamfahamu kama hicho unachoikiita muungano ni kati ya nchi mbili yaani tanganyika ndio nyie na zanzibar. Ila kwasasa wanzibar hatutaki muungano huu wa dhuluma mbona mnatulazimisha muna siri gani? Ila tunajuwa iko siku tutashinda hata muaanze kutuuwa!

  Innalilah waina ilayhi rajiuun
   
Loading...